Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

nyie endeleeni kupiga kelele.
Muda si mrefu zuchu atamiliki nyumba yake.
wale mnaoamini kipaji tu cha mtu ndo kitampa maendeleo ENDELEENI KUJIDANGANYA..

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Jidanganye tu,

Rayvany Hana Nyumba Licha ya kubeba mpaka tuzo ya MTV base. Njoo tabata tukupeleke alipopanga.

Mboso Hana Nyumba kapanga.

Lavalava ndio kabisa.

Msanii aliekuwa na mafanikio wcb ukimtoa diamond ni Harmonize tu maana ndio alitusua kimataifa. Nyumba zake za madale hata ukitaka leo unaepelekwa kuziona.

Huyo zuchu haiafikia hata robo ya mafanikio kimuziki alipofikia Rayvany lakini bado anapanga na kupewa Prado la kutembelea.

Hawa wasanii uliwajua huwezi kuthubutu kuongea unayoongea. Usidanganywe na Instagram.

Hapo bado sijamtaja moze iyobo tuko nae kitaa tunagonga nae mikeka.
 
Kama hawana nyumba huo ni UPUMBAVU WAO WENYEWE. maana bila hata shoo wakitumia hela za YouTube n.k kwenye chanel zao wanaweza wakajenga..

Hater anajua mpaka mfuko wa mtu una shilling ngapi.
 
nyie endeleeni kupiga kelele.
Muda si mrefu zuchu atamiliki nyumba yake.
wale mnaoamini kipaji tu cha mtu ndo kitampa maendeleo ENDELEENI KUJIDANGANYA..

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nyumba ya nyoko!!

Babu tale Nyumba kajenga tangu Yuko tiptop connection amemalizia baada ya kujiunga wcb. Kajenga Nyumba zaidi ya miaka 15. Ndio iwe Huyo zuchu ajenge Nyumba leo.

Wajengeeni Nyumba Rayvany , queen Darleen na lavalava kwanza kabla ya zuchu.
 
Mbona unamuonea wivu mtoto wa kike?..
Ramani za maisha HAZIFANANI.
Inawezekana wewe mpaka unakufa usiwe na maisha mazuri lakini mwanao akaja kutoboa maisha akiwa na miaka 18.
USIKARIRI.
Nyumba ya nyoko!!

Babu tale Nyumba kajenga tangu Yuko tiptop connection amemalizia baada ya kujiunga wcb. Kajenga Nyumba zaidi ya miaka 15. Ndio iwe Huyo zuchu ajenge Nyumba leo.

Wajengeeni Nyumba Rayvany , queen Darleen na lavalava kwanza kabla ya zuchu.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama hawana nyumba huo ni UPUMBAVU WAO WENYEWE. maana bila hata shoo wakitumia hela za YouTube n.k kwenye chanel zao wanaweza wakajenga..

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hakuna msanii wa wcb anaemiliki account ya YouTube mkuu ,

Nenda YouTube uone account ya Rich Mavoko iko wapi Sasa hivi baada ya kujitoa WCB. Baada ya rich Mavoko kujitoa WCB account Yake pia ilibaki WCB na kila kilichomo. Kwasasa Rich Mavoko ana account mpya inaitwa "Billionaire Kid"... Ndio kaanza upya nenda ukacheki kazi zake.

Iko hivi account zote za YouTube Kama uko chini ya WCB Ni Mali ya wcb mpaka vyote vilivyomo. Kinachopatikana kwenye YouTube ni Mali ya WCB, uliza uambiwe mkuu. Ndio maana harmonize alivyojitoa aliambiwa atoe milion 500 Kama anataka kuondoka na YouTube account + contents zote.
 
Jidanganye tu,

Rayvany Hana Nyumba Licha ya kubeba mpaka tuzo ya MTV base. Njoo tabata tukupeleke alipopanga.

Mboso Hana Nyumba kapanga.

Lavalava ndio kabisa.

Msanii aliekuwa na mafanikio wcb ukimtoa diamond ni Harmonize tu maana ndio alitusua kimataifa. Nyumba zake za madale hata ukitaka leo unaepelekwa kuziona.

Huyo zuchu haiafikia hata robo ya mafanikio kimuziki alipofikia Rayvany lakini bado anapanga na kupewa Prado la kutembelea.

Hawa wasanii uliwajua huwezi kuthubutu kuongea unayoongea. Usidanganywe na Instagram.

Hapo bado sijamtaja moze iyobo tuko nae kitaa tunagonga nae mikeka.
Mbosso hana nyumba ila kawajengea wazazi wake na kuwanunulia gari pia naye anagari zuri tu. Halafu hata kama wamepanga nyumba za gharama maana yake wana uwezo wa kuzilipia. Uzuri hata wao wenyewe ni wanyenyekevu hakuna aliye wahi kujigamba kwamba anamiliki nyumba.
 
Ebu weka ushahidi wa haya unayosema.
Hakuna msanii wa wcb anaemiliki account ya YouTube mkuu ,

Nenda YouTube uone account ya Rich Mavoko iko wapi Sasa hivi baada ya kujitoa WCB. Baada ya rich Mavoko kujitoa WCB account Yake pia ilibaki WCB na kila kilichomo. Kwasasa Rich Mavoko ana account mpya inaitwa "Billionaire Kid"... Ndio kaanza upya nenda ukacheki kazi zake.

Iko hivi account zote za YouTube Kama uko chini ya WCB Ni Mali ya wcb mpaka vyote vilivyomo. Kinachopatikana kwenye YouTube ni Mali ya WCB, uliza uambiwe mkuu. Ndio maana harmonize alivyojitoa aliambiwa atoe milion 500 Kama anataka kuondoka na YouTube account + contents zote.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unamuonea wivu mtoto wa kike?..
Ramani za maisha HAZIFANANI.
Inawezekana wewe mpaka unakufa usiwe na maisha mazuri lakini mwanao akaja kutoboa maisha akiwa na miaka 18.
USIKARIRI.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahaha siku ungejua hii industry vizuri ungeona aibu kuandika unayoandika.

Wasanii wanaoishi maisha unayoyadhani au kuyaona huko Instagram kwa TANZANIA hawazidi 10.

Kafuatilie podcast ya Vanessa mdee uongezee maaifa kwanini kaacha mziki.
 
Watu wanaona pic za ig wanafkir na mtaan
Wako hvo[emoji16][emoji16]
 
Vanessa aliamini KWENYE KIPAJI.
ndo maana amefeli HAKUWA NA UONGOZI MZURI.
angalia leo harmonize yupo vile sababu alikuwa kwenye uongozi bora.
Unadhani jembe ni jembe angeweza kumtoa harmonize akiwa KINDA?.
UONGOZI NDO KILA KITU KWENYE MAFANIKIO.
ndo maana diamond ana mameneja 3.sio mjinga yule.
Hahaha siku ungejua hii industry vizuri ungeona aibu kuandika unayoandika.

Wasanii wanaoishi maisha unayoyadhani au kuyaona huko Instagram kwa TANZANIA hawazidi 10.

Kafuatilie podcast ya Vanessa mdee uongezee maaifa kwanini kaacha mziki.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mbosso hana nyumba ila kawajengea wazazi wake na kuwanunulia gari pia naye anagari zuri tu. Halafu hata kama wamepanga nyumba za gharama maana yake wana uwezo wa kuzilipia. Uzuri hata wao wenyewe ni wanyenyekevu hakuna aliye wahi kujigamba kwamba anamiliki nyumba.
Kijana huna unalojua Kodi za Nyumba za wasanii wa wcb zinalipwa na WCB. Harmonize tuko nae tabata analipiwa na WCB.

Shopping za Mavazi unalipiwa na WCB kwa mwezi. Hakuna msanii wa wcb anajilipia kodi.

Lavalava mwaka mzima unaisha hana hata show mbili. Queen Darleen mwaka unaisha hana hata show moja hizo Kodi anatoa wapi.

Kila gari unaloona ANAPEWA ni mkopo atakatwa kwenye mapato yake. Kuweni mnauliza.

Ingekuwa ni hivyo rahisi unadhani rich Mavoko angejitoa!!!

Uliza watu wanaomjua rich Mavoko vizuti tabata ilifika kipindi anakosa mpaka nauli ya kwenda WCB mbezi kwenye studio sessions.

Sitaki niseme hayo ya Mboso utakuja kusema naongea uongo
 
Hakuna msanii wa wcb anaemiliki account ya YouTube mkuu ,

Nenda YouTube uone account ya Rich Mavoko iko wapi Sasa hivi baada ya kujitoa WCB. Baada ya rich Mavoko kujitoa WCB account Yake pia ilibaki WCB na kila kilichomo. Kwasasa Rich Mavoko ana account mpya inaitwa "Billionaire Kid"... Ndio kaanza upya nenda ukacheki kazi zake.

Iko hivi account zote za YouTube Kama uko chini ya WCB Ni Mali ya wcb mpaka vyote vilivyomo. Kinachopatikana kwenye YouTube ni Mali ya WCB, uliza uambiwe mkuu. Ndio maana harmonize alivyojitoa aliambiwa atoe milion 500 Kama anataka kuondoka na YouTube account + contents zote.
Kwa hiyo wewe ulitaka mondi aangaike miaka yote kutengeneza bland ya wasafi halafu wanaume wengine wakateleze pale halafu wasepe kizembe tu???

WCB ni biashara ya Diamond na sio charitable organization kama king's music ya Kiba.

Uzuri wamesaini mkataba wenyewe.
 
Kijana huna unalojua Kodi za Nyumba za wasanii wa wcb zinalipwa na WCB. Harmonize tuko nae tabata analipiwa na WCB.

Shopping za Mavazi unalipiwa na WCB kwa mwezi. Hakuna msanii wa wcb anajilipia kodi.

Lavalava mwaka mzima unaisha hana hata show mbili. Queen Darleen mwaka unaisha hana hata show moja hizo Kodi anatoa wapi.

Kila gari unaloona ANAPEWA ni mkopo atakatwa kwenye mapato yake. Kuweni mnauliza.

Ingekuwa ni hivyo rahisi unadhani rich Mavoko angejitoa!!!

Uliza watu wanaomjua rich Mavoko vizuti tabata ilifika kipindi anakosa mpaka nauli ya kwenda WCB mbezi kwenye studio sessions.

Sitaki niseme hayo ya Mboso utakuja kusema naongea uongo
Wewe lini ushawahi kuwa sifia WCB,
Mbosso ile nyumba na gari aliyo wagea wazazi wake kaiokota.

Mtoto kiume ila una chuki na wivu wa kike yaani unajua mifuko na akaunti zote za wasanii wa WCB kama Kijumbe wa mtaa.
 
Kwa hiyo wewe ulitaka mondi aangaike miaka yote kutengeneza bland ya wasafi halafu wanaume wengine wakateleze pale halafu wasepe kizembe tu???

WCB ni biashara ya Diamond na sio charitable organization kama king's music ya Kiba.

Uzuri wamesaini mkataba wenyewe.
You're out of the topic, this thread is heavy above your ability. Go kick your ass.
 
Back
Top Bottom