Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!uView attachment 1524100
Kikao cha familia ya babutale kuhusu kuwania ubunge,kiliishia wapi?

Vipi kuhusu kesi ya TCRA na Wasafi inaendeleaje?

Manake unaleta habari nusu nusu.

Sasa hivi umehamia kwa Zuchu.
 
Najua unajua nachukia parties/sherehe

Hizo shows naziconsider kama parties...hata kwa bure siendi
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sherehe nayohudhuria n msiba tu
 
Dah nimeusikia leo jioni.anyws kila mtu anapenda taste Yake...! Mie hajanibariki kbs ..nadhan Kwasababu napenda kudance

Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!

Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).

Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
 
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sherehe nayohudhuria n msiba tu

Dalili za umasikini. Mnafariniana!
 
sio kuimba tu, akapata hadi nafasi ya kushika mkuu mkono kakalia, upepo uliokapitia kasipo toboa hakatoboi Tena, wakuu wote wa nchi wanakakubali, yule mkubwa kabisa anakaita chuchu
Hhhaahaaa kwamba chuchu?? Dah🤸🙌
 
Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!

Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).

Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.

[/QUQUOTE]
Shogangu Kama kawaida yako
 
Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!

Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).

Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
vipi mzee.. umepata chakula kweli? unavamiaje mtu usiemjua hivyo?
 
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sherehe nayohudhuria n msiba tu

Hahahahh mkuu hata matukio ya ndugu huendi kabisa?mie kuna baadhi ya matukio ya watu wa karibu lazima niende hata kama sipendi.....usipoenda unawaambiaje?

Kwenda kwenye misiba ni jambo la msingi nafikiri
 
Back
Top Bottom