Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kikao cha familia ya babutale kuhusu kuwania ubunge,kiliishia wapi?Wasalaam!
Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!
Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!
Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!
Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!
Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!uView attachment 1524100
Ruttashobolwa ,eti Don Clericuzio anauliza unataka kupunguziwa hadi bei gani ili upate kwenda kwenye show ya Zuchu?
Weekend iko salama,yule naniliu anakusalimia
Mwambie arudi kusoma nilicho kiandika kiko wazi na nilicho shauri ....
Don Clericuzio ,Ruttashobolwa anasema eti urudi kusoma alichoandika,eti kiko wazi na alichoshauri
700K.Wewe unadhani anatakiwa kulipwa milion ngapi ?
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua unajua nachukia parties/sherehe
Hizo shows naziconsider kama parties...hata kwa bure siendi
Dah nimeusikia leo jioni.anyws kila mtu anapenda taste Yake...! Mie hajanibariki kbs ..nadhan Kwasababu napenda kudance
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sherehe nayohudhuria n msiba tu
sio kuimba tu, akapata hadi nafasi ya kushika mkuu mkono kakalia, upepo uliokapitia kasipo toboa hakatoboi Tena, wakuu wote wa nchi wanakakubali, yule mkubwa kabisa anakaita chuchuAmeshaimba wimbo wa ccm?duh...hatari Sana....ukitaka mambo yako yanyooke Lazima uimbe tenzi...
Hhhaahaaa kwamba chuchu?? Dah🤸🙌sio kuimba tu, akapata hadi nafasi ya kushika mkuu mkono kakalia, upepo uliokapitia kasipo toboa hakatoboi Tena, wakuu wote wa nchi wanakakubali, yule mkubwa kabisa anakaita chuchu
Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!
Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).
Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
[/QUQUOTE]
Shogangu Kama kawaida yako
vipi mzee.. umepata chakula kweli? unavamiaje mtu usiemjua hivyo?Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!
Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).
Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
Achana naye babe!vipi mzee.. umepata chakula kweli? unavamiaje mtu usiemjua hivyo?
maskini, pole..msongo wa mawazo utakuua nduguDalili za umasikini. Mnafariniana!
hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sherehe nayohudhuria n msiba tu
rudi kule basi [emoji9][emoji9]Achana naye babe!
Nipo harusin mambo mob😔! Naja bossrudi kule basi [emoji9][emoji9]