Kumpenda dada wa ubatizo...

Kumpenda dada wa ubatizo...

Sidhani kama kuna shida maana anaweza kuwa mtu wa mbali kabisa ni mtizamo wangu binafsi.
 
Ni sheria tu za kikanisa ambazo kanisa limejiwekea.
Haiwezi kumuoa mtoto wa baba yako wa ubatizo baba awe mkwe kwa Wakati mmoja
Aisee mimi ni mkatoliki halisi kabisa sijawahi sikia hili.
 
Ni sheria tu za kikanisa ambazo kanisa limejiwekea.
Haiwezi kumuoa mtoto wa baba yako wa ubatizo baba awe mkwe kwa Wakati mmoja
Aisee mimi ni mkatoliki halisi kabisa sijawahi sikia hili.
Basi labda mimi ndio nitakua nimekosea kuelewa maana kila mtu humu anasema hajawahi kusikia.
Btw wewe si Atheist??
Wewe umejitungia hakuna kitu Kama hicho. Mimi nimezaliwa nikajikuta mkatoliki jamii inanilazimisha niwe na dini. Ila kadri ninavyojitambua Kuna mambo nayaacha taratibu, hata wazo la kwenda church halipo. Ingawa Kuna siku nasali namuomba Mungu!
Kama yupo au hayupo atajua yeye😀
 
Back
Top Bottom