Kumpiga mke kunaboresha mapenzi?

Nakubaliana, sema hasira hasara
 
Cha ajabu baada ya kesi kuisha mke wangu ameongeza mapenzi ajabu! Yaani kama kwenye muvi, kunyandua saa nataka na ameongeza makeke! Kila kitu ananifanyia kwa wakati. Hii haikua kawaida yake. Yaani ni kama kazaliwa upya.

Jini likujualo, halikuli likakwisha...
 
Punguani dem bila kumuwasha huwa anawashwa kupigwa nakonzi hivyo hukukosea lkn isiwe mazoea
 
Piga tena upewe miuno ya uzazi
 
NI KWELI KUMPIGA MWANAMKE KUNAONGEZA MAPENZI, ILA SIO KWA WANAWAKE WOTE, WAPO BAADHI YA WANAWAKE WANA HULKA HIZO... HUPENDA KUPIGWA NDO ASILI YAO, ILA SIO PIGO LA PAKA MWIZI..... MZABE KIBAO KIMOJA TU KINATOSHA KWA KUBORESHA MAPENZI, NINA UZOEFU WA KUTOSHA KWA HAYA NINAYOKWAMBIA. Kuna wanawake huwa wanamis kupigwa japo kibao kimoja na waume zao, kuna wanawake huwaonea wivu wenzao wanapopigwa na waume zao, ila narudia tena... Pigo la hapa ni kibao kimoja cha shavuni, sio unapiga kama unataka kuua[emoji19]
 


Huwezi kuwa na umri huo katika ndoa kwa huu upumbavu unaoandika.
 
Jugado unajua kweli kuna muda tunakera ila kwangu mie sijawahi pigwa na babe ila anaondoka na akirudi utajuta kumfahamu unapokea kichapo kikali unajua ku!!!!wa kisela ndio hvyoo ntu anakunywea k vant au konyagi asubuhi. Adabu mbele
 
Mkiambiwa hamsikii mpaka mpigwe na kitu kizito.Mademu wanakisasi sio poa,hapo anajenga mazingira alipize Kisasi hata Kwa kunyea msosi wako,manzi akikukosea timua Wala usibishane nae maana hata ukimpiga neno Baya atahakikisha analirudisha direct au indirect.
 
Jugado unajua kweli kuna muda tunakera ila kwangu mie sijawahi pigwa na babe ila anaondoka na akirudi utajuta kumfahamu unapokea kichapo kikali unajua ku!!!!wa kisela ndio hvyoo ntu anakunywea k vant au konyagi asubuhi. Adabu mbele
Hahaha unapigwa na kitu haina mfupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…