Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
- Thread starter
- #21
Nakubaliana, sema hasira hasaraMaelekezo ya maandiko, anayechapwa ni mtoto. Sio mtu mzima.
Pili kipingo au kichapo kwa mtoto lengo kuu huwa sio kwa sababu amekukwaza bali kimejielekeza katika kumuondolea upumbavu. Kama mtoto hajafanya upumbavu kafanya ujinga tu au makosa ya kawaida fimbo sio option.
Upumbavu ni mfano anaona watu anaanza kujiliza bila sababu, haumwi, hajakosewa au kwa ufupi kudeka. Hapo unatakiwa umrambe bakora akili zikae sawa.
Mke au mtu mzima hapingwi.