maisha ya ndoa ni kupendana,kuvumiliana na kuchukuliana ,je ina maana wewe huna vijitabia vinavyomkera mkeo?au wewe ni malaika?kumuonea ni kumpiga bila kosa!!!! Ndugu vitasa muhimu.....kuna vitabia vingine havitoki bila maumivu na akina hawa huwa wanatabia ya kujifanya manunda bila sababu ya msingi.........ndugu fyatua mabanzi hii habari ya u-delicate creature itafika siku wataanza kusema ile kitu ni mara moja kwa mwezi.........upo