Kumpigia kura P.O.Sakho, CAF Goal of the Year ni kujipotezea muda tu. Wengine kuamua mshindi

Sikuwahi kufikiria kukunenea mabaya kwaua huu ni utani wa jadi, ila kutokana na utoto na uongo unaondekeza humu jukwaani kila leo, inabidi nikwambie kitu.

"Kuliko kuzaliwa wewe, ni bora lingezaliwa kreti la bia watu wakanywa wakafirahi"

Huo utaratibu wa kuhebu kura umeutoa wapi?
 
Ahsante mkuu kwa taarifa....

Hivi hakuna hata mchezaji wa yanga aliyeoneka onekana kwenye kipengele chochote huko CAF..!?? Hata cha kutetema basi...

Au CAF wanampendelea Mnyama...!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kiungo bora, tumpigie Fei na bangala.
 
1. Kamati ya Ufindi ya CAF
2. Waandishi wa Habari/michezo watambulikao CAF
3. Makocha wakuu wa timu shiriki msimu 2021/22
4. Makaptein wa timu shiriki msimu 2021/22
5. Klabu zilizo shiriki makundi msimu 2021/22
hapo Yanga inapatikana kwenye kundi gani? 😂😂😂
 
Ahsante mkuu kwa taarifa....

Hivi hakuna hata mchezaji wa yanga aliyeoneka onekana kwenye kipengele chochote huko CAF..!?? Hata cha kutetema basi...

Au CAF wanampendelea Mnyama...!?
Yupo feisal goli alilowafunga simba azam sports federation maana ndio furaha yao.
 
Acha tuwapigie Mayele na Feisal yao yalikuwa mazuri sana ila tu ni mapenzi ya caf kwa simba sc
 
.
 
Ukimtoa Mzee Kikwete na Baba yake kaboka manara mashabiki wote wa Yanga waliobaki hawana akili nukuu ya maneno ya manara
 
Nani anaichukia timu yake,nani anaichukia nchi yake,nani anamchukia mchezaji wake.
Sakho anapigiwa kura na watu wengi sana si watanzania tu hata Raia wa nchi yake,hata mataifa mengine yanampigia kura si wanasimba tu sasa post yako imekaa,kiwivu sana hizi ni dalili za kuwa mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…