Sasa mbona umerudia tena?
Thanks???...... Noted?????...
Hahaha sweetlady lunch on meSasa mbona umerudia tena?
Thanks???...... Noted?????...
Wata tu - PM tuwatafsirie bana ung'eng'e mtamu bana sasa depression nitaiandikaje kiswahili au ndo msongo wa mawazo na stress je au distress??????
Hahahaha! Nitumie kiporo cha ile keki ya jana...lol.Hahaha sweetlady lunch on me
hahahahaha. Mi nimeishia la saba B. Ntakumbuka kweli maneno yote niyatume kwenye PM?? Haya bana nitajitahidi.
Hivi ikitokea umempoteza mtu unayempenda unaikabili vipi hii hali?
Yani hata sijui nisemeje, nimechoka kwa mawazo hadi akili kumfikiria sana huyu mtu.
Roho inaniuma na ninakumbuka sana vitu vingi tulivyofanya tukiwa wote. Nahisi nilimpenda sana na kumpa kipaumbele zaidi kuhakikisha tuna penzi imara na lenye muelekeo japokuwa changamoto za hapa na pale hazikukosekana.
Lakini sijui kwa nini amenifanyia hivi? Na hii ndiyo inayonichanganya zaidi akili kwa sababu sipati jibu..Kifupi, ni kuwa ameoa (naomba nisielezee zaidi).
Ooh!..kweli nahitaji ushauri wenu juu ya kuendelea na maisha yangu bila kumkumbuka huyu mtu..japokuwa ukweli ni kuwa siwezi kumsahau 100%!!
I'm so confused, stressed & deeply hurt!!..
Hahahaa! Afu hayo ndo majina ya kule kijijini kwetu!... Ngoja niangalie kwenye dict. Nikipata maana kwa kiswahili nalibadili kuonyesha msisitizo.Mbona jina lako umeandika kithungu
Pole sana, naweza elewa sana situation yako, ni ngumu nikikuambia jaribu kumsahau, naelewa sana kumsahau mtu haraka ni ngumu ,nimesha tokewa na hali hiyo na nikadhani dunia ndio mwisho, ila ajabu siku hizi huyo mtu hata nikimuona sitaki hata kukaa naye dakika mbili , kifupi namkimbia , sababu ile penzi nililo kua nalo kwake halipo kabisa ,kwanza najishanga inakuaje nili fall namna ile mbaka nikaona kwanini nilizaliwa kuteseka kumkosa huyu? .
Amini utaweza tuu kumsahau kama utaweza jitahidi , njia ya jaribu kuto onana naye au kaa mbali naye hilo lita saidia kuanza kumsahau taratibu. ni ngumu lakini kw aupende wangu ilini saidia sana na kuweza msahau kabisa.
Ooh! Pole mpenzi. Amini mungu anakupenda na kila jambo la shari kuna heri ndani yake.
Huwezi jua mungu amekuepusha na mambo mangapi. Nahisi unavyojisikia, nisingependa uendelee kujisikia hvyo.
Hata tukikwambia maneno mazuri yote bado wewe mwenyewe ndio inakupasa kuijengea nafsi yako mazingira ya furaha.
Usiruhusu kuipoteza furaha yako.
Pole sana BelindaJacob,
There so many men/women who have gone through the same situation - I would say 75% of happily married women and men went through the same...
Kusahau uwezi lakini kusamehe ndiyo la muhimu zaidi ili uweze kuendelea na maisha
Step 1.. Stop asking yourself "WHY?"
Step 2.. Initiate an "acceptance session" and tell your heart that "whatever happens in life, happens for the very good reason"
Step 3.. Try to remember the "good things" you had or you did before seeing/meeting this "guy'
Step 4.. Travel (If you can) to go and see your close relative (Dad, Mom, Uncle, Sister, e.t.c) as they matter most in such a situation
Step 5.. Join into some social groups and undertake a "charity work"
Step 6.. Start Living as good as you can & remember to thank God for whatever that you have
It's something that you cant stop thinking about. It's something very strange which has the power to make you do strange things which you can't even think of. It's something that supposes to be light and easy. Something that suppose to make you happy.BUT IT'S NOT.It's something you neither can't control, It's something that leaves you in question what to do next and yet you are scared to take another step deeper because you know it doesn't worth it and while others say its good, for others it becomes agony and pain.
I understand the fact that you loved him but i think right now its impossible (He's married) move on find that special guy that will marry you and love you i know its going to be very difficult and hard (I can see it's already difficult and hard for you) but what doesn't kill you can only make you stronger.
TRAVEL, DO THE ACTIVITIES WHICH YOU WERE NOT DOING IN THE PAST
Asante sana B_E, kweli inauma mpaka moyo umekuwa na hasira!..chozi zatiririka tu muda mwingine!
In deed, hizo steps ni nzuri sana..Thanks for sharing ktk kipindi hiki, nitazifanyia kazi niweze kupambana na haya mawazo + situation!..Thx
In deed, I loved him and trusted he loved me back(though siwezi kuusemea moyo usikute nilikuwa 'the least' kwenye maisha yake)
Given the fact that I'm in a very difficult time, I have to accept the reality and move on..Ooh! How I wish nisingekutana nae, did all things we did..Kaniacha njia panda yani hii 2011 ameniachia historia chungu!
Thanks a lot TF!..
Hivi ikitokea umempoteza mtu unayempenda unaikabili vipi hii hali?
Yani hata sijui nisemeje, nimechoka kwa mawazo hadi akili kumfikiria sana huyu mtu.
Roho inaniuma na ninakumbuka sana vitu vingi tulivyofanya tukiwa wote. Nahisi nilimpenda sana na kumpa kipaumbele zaidi kuhakikisha tuna penzi imara na lenye muelekeo japokuwa changamoto za hapa na pale hazikukosekana.
Lakini sijui kwa nini amenifanyia hivi? Na hii ndiyo inayonichanganya zaidi akili kwa sababu sipati jibu..Kifupi, ni kuwa ameoa (naomba nisielezee zaidi).
Ooh!..kweli nahitaji ushauri wenu juu ya kuendelea na maisha yangu bila kumkumbuka huyu mtu..japokuwa ukweli ni kuwa siwezi kumsahau 100%!!
I'm so confused, stressed & deeply hurt!!..
Dah BJ yaani hii thread imeniharibia siku yangu kwa kuwa na huzuni kubwa kwako kwa yaliyokupata.
Pole sana maisha lazima yaendelee no matter what.........
Ni ngumu kwa sasa ila utaweza mie niliweza zamani nimekumbuka mbali sana pole.....
Hii ni ngumu, i can only advise you to pray whenever you feel angry n hurt. Ask God to help you forgive..that is the first step towards healing. Usipomsamehe hutaweza kusahau....ukishakuwa umemsamehe, i mean ikifikia wakati unaweza kumkumbuka au kumuwaza bila kusikia hasira na uchungu, its time for you kumtafuta na kumuomba uonane naye muongee akwambie what really happened so that you can learn form it. Then move on with your life.
Pole sana mydia.
Mungu anapokunyima kitu fulani ana sababu. Labda anaacha nafasi ya kukupa kilicho bora zaidi huko mbele. Zidi kumwomba na kumtumainia.
Pole sana
We all face a time when we experience a bad breakup with that special person. We become depressed and it seems like the only thing we are able to think about is that person who is no longer in our lives. We go shopping and we see something that reminds us of them, or we hear a song that they used to like. At this time the logical part of the brain knows that eventually things will get better, it is just a matter of time. Of course at the time of a break up we are so full of hurt and emotional distress that we can often be stubborn and fall into a deep depression if we dont pull ourselves together.
That is why it is important to deal with break-ups at our own pace and find ways to build confidence and self esteem