Dzonga - Afrique
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 569
- 1,493
Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
Don't be serious all the timeKwani kumrudia x kuna shida gani na kwenda veta kuna tatizo gani mpaka iwe mada ?
Sawa basi tufanye hivi x namrudia na Veta naenda.Don't be serious all the time
Mshika mawili Moja umponyoka😁😁😁Sawa basi tufanye hivi x namrudia na Veta naenda.
Mbona nipo na mbupu zote mbili na hakuna iliyoponyoka zaidi ya miaka 30 na zaid?Mshika mawili Moja umponyoka😁😁😁
🙌🙌🙌Mfano hai 🤣🤣🤣Mbona nipo na mbupu zote mbili na hakuna iliyoponyoka zaidi ya miaka 30 na zaid?
Nilijua heading ni typing error, kumbe kuna watu wengi sio watanzania humuKumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
Mie ex wangu ni mmoja tuu ambaye naweza mrudia...huyo mdigo ni balaaaa
Umeandika nini?Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
Hivi humu nna ex wangapi? Afu mbna mzab sio ex, ni mshikaji wangu tyuuh