Kumsakama ndumbaro kuna tija yoyote??

Kumsakama ndumbaro kuna tija yoyote??

engjozee

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
6
Reaction score
5
Ndumbaro huyuhuyu alifungiwa na TFF kujishughulisha na mpira kisa aliongea ukweli juu ya unyonyaji kwa vilabu. Walipomsikia wakamtia pin kama yule mwenyekiti wa wafanyabiashara.
Kama haitoshi naskia anataka kudhulumiwa pesa zake alizotoa kudhamini mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA ilofanyika some years back ambayo alitoa kiroho safi kuidhamini TFF, ambao hawakukataa pesa walipokopeshwa bali wanakuja kukataa kipindi cha kulipa kwa kigezo cha kwamba uandaaji wa lile pambano haukua halali kwa Ndumbaro.

Embu wana jukwaa tuchangie , inawezekana kuna nisiyoyajua, Je kuna uhalali wowote wa TFF kumuandama Ndumbaro???
 
Back
Top Bottom