ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Wenye jukumu la kumshtaki Lusinde ni Watanzania na sio Dr Slaa, Lema au Mbowe.
Mi sioni haja ya kumshitaki. CCM wamtimue tu.
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.
Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?
Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?
Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.

Ni kauli za kisiasa tu jamani, jadilini yalio na faida katika taifa lenu.
matusi waliyaanza wenyewe kwa kumtukana mkapa na wasira tena walifananisha na nyani sasa wanalalamika nini ?
Mkuu Lusinde sio kichaa.Lazima jambo fulani lifanyike ili atueleze huyo bwana wa Lema ni nani na hiyo mimba ya Kamanda mkuu kapewa na nani na upuuzi mwingine wote aliosema autolee ufafanuzi nunda huyu.Siasa ina vijembe sio matusi.Kuna watu wanataka kusema eti vijembe kwa Mkapa na Wasira ni matusi sio kweli hata kidogo. Mie Chakaza mbona sura yangu kama sokwe na mtu akinifananisha nao nitaona kawaida tu!maana kwanza Wassira na mie yeye handsome wa uhakika.Lakini ukiniambia maneno yale ya Lusinde tena mbele ya watoto ambao uwezo wa kuchuja haupo siwezi kubali kabisa.Lusinde ashughulikiwe,hatuwezi kuwa na viongozi wapuuzi kama hawa hata kidogo.Najua pamoja na kumwagwa kura za maoni mzee JS Malecela bado kura yake alimpa Lusinde bse ana mapenzi na chama chake. Sasa mpe clip ya aliyoongea mrithi wake kama hata toa machozi! Mahakama ndio saizi yake hata kama kesha declare kuwa yeye kichaa.Hakuna haja ya kukimbizana na kichaa aliyenyakua nguo zako wamwache mwenyewe atajiona mjinga.
Ni kauli za kisiasa tu jamani, jadilini yalio na faida katika taifa lenu.
Nimeona mulivyo biased nyinyi wachangiaji wote na ndiyo maana watu wanadai JF ni CDM. Wakati Mkapa anachafuliwa na mwendawazimu Vincent Nyerere muliona raha sasa CCM wameleta mwehu anayemzidi Vincent muna panic! Kweli mkuki kwa nguruwe....