Ningekuwa JK mara moja namfukuza uanachama huyu bwana. Hawezi kuongea upuuzi kama huo na chama kikaendelea kumwangalia na kumfurahia. Kusema Ukweli baada ya kuona hiyo video nimechanachana kadi ya CCM na kesho nachukua gamba rasmi. Mheshimiwa mbunge anaongea vitu kama hivyo kweli???????????? uheshimiwa uko wapi????? Shame upon him na kama wewe lusinde unasoma hapa jua kuwa huna tena thamani na heshima kwa wale walioiona hii kampeni yako na hata kama walikushangalia kasikilize vizuri jinsi walivyokuwa wanakushangalia kisha utabaini wanakupongeza au wanakukejeli kukuona punguani (umepungukiwa akili) au mwehu fulani.
Eti wewe ni mtunga sheria wa Tanzania??? Ila sitashangaa kwani ndio matokeo ya rais kusaini muswada na kuurudisha bungeni kabla hata haujatumika, wewe ndo sababu.
Kwa kuonesha uungwana waombe watanzania na CHADEMA radhi la sivyo maneno yako yatakuhukukmu very soon, utaona tu, na namwomba Mungu anipe uhai nishuhudie hiyo siku na nitaipost hapa.