Kumshitaki mhitimu

Kumshitaki mhitimu

Nimefanikiwa kusoma chekechea mpaka chuo kikuu ila binafsi sijawahi ona elimu ambayo watu wanasoma kiujanja ujanja kama chuo... chuo ukisoma sn unafeli ukiwa mjanja mjanja msuli pepa unatusua
 
Aisee!
 
Kwaiyo wewe waona nisawa kuwa na watu wa aina hiyo na chuo cha ina hiyo kama jamaa anavyolalamika kwenye taifa linalohitaji maendeleo??

Wewe kama msomi??
Hapana,siyo sawa.

Nachopinga ni njia anazoongelea. Kwani, waajili kama wajinga, alaumiwe mwenye kutafuta ajira?
1. Kama wahusika hawawezi kutambua vyeti feki wana kazi gani?

2. Wangapi wana vyeti vizuri lakini kazi hawawezi? Hawa ndo mnaowataka!

Wangapi wasomi wanaenda mfano China,wanapigwa sana na jamaa hawajui hata salamu za kiingeleza?

Anzieni huko juu kwa wanaopiga dili.

Bora angejenga hoja ya kujenga mfumo wa kimataifa kutambua wenye vyeti feki na harisi hapo sawa.

Muajiri yeyote anahitaji mtu mwenye uwezo wa kutimiza wajibu wake,hahitaji karatasi
 
tumejaa chuki sasa inatutafuna wenyewe
Bado sijaelewa mimi. Inglishi yake inakatakata,alifeli sehemu. Hili ni wazi wanafahamiana. Kuferi enzi hizo,kulimaanisha hatoboi kimaisha?

Yeye kapata kufahamiana na mtu. Nikajua labda mwajiri kaletewa vyeti feki.
 
Hapana,siyo sawa.

Nachopinga ni njia anazoongelea. Kwani, waajili kama wajinga, alaumiwe mwenye kutafuta ajira?
1. Kama wahusika hawawezi kutambua vyeti feki wana kazi gani?

2. Wangapi wana vyeti vizuri lakini kazi hawawezi? Hawa ndo mnaowataka!

Wangapi wasomi wanaenda mfano China,wanapigwa sana na jamaa hawajui hata salamu za kiingeleza?

Anzieni huko juu kwa wanaopiga dili.

Bora angejenga hoja ya kujenga mfumo wa kimataifa kutambua wenye vyeti feki na harisi hapo sawa.

Muajiri yeyote anahitaji mtu mwenye uwezo wa kutimiza wajibu wake,hahitaji karatasi
Mleta mada ni msomi muhitmu BSc.Ed-udsm 2010/2013 namba yake ya simu 0757312093 mpigie mzungumze akueleweshe vizuri.
 
Mkuu hiyo ni husda, na kwa ufupi zaidi akili Yako haina akili. Kaa kwa kutulia na ufuatilie maisha Yako ya wengine wachana nayo bhn
 
😂😂😂 Pambana mkuu. Nakuombea. Hapa ugumu wako wa maisha ndio unaongea. Si akili zako hizi.
Ni kweli. Sasa wewe maisha mepesi,iweje uwaonee wivu hao wanaohangaika wakapate kuiona kesho? Ungekuwa na busara ungemshauri njia sahihi. Lakini leo unaona upeleke kwenye vyombo vya sheria. Uwezo wake unaujua? Je ukienda ukakuta hajafoji?
 
Hapana,siyo sawa.

Nachopinga ni njia anazoongelea. Kwani, waajili kama wajinga, alaumiwe mwenye kutafuta ajira?
1. Kama wahusika hawawezi kutambua vyeti feki wana kazi gani?

2. Wangapi wana vyeti vizuri lakini kazi hawawezi? Hawa ndo mnaowataka!

Wangapi wasomi wanaenda mfano China,wanapigwa sana na jamaa hawajui hata salamu za kiingeleza?

Anzieni huko juu kwa wanaopiga dili.

Bora angejenga hoja ya kujenga mfumo wa kimataifa kutambua wenye vyeti feki na harisi hapo sawa.

Muajiri yeyote anahitaji mtu mwenye uwezo wa kutimiza wajibu wake,hahitaji karatasi
Kwanza, sijasema popote kwamba huyu mtu ni muajiriwa. Pili, sijajenga hoja ya kuhatarisha kazi ya mtu. Nimezungumzia ubovu wa matokeo yake ya awali, uwezo wake mdogo wa kumudu lugha ya kujifunza. Inawezekanaje kwani, mhitimu huwezi hata kuandika sentensi Moja ya lugha ulioitumia kujifunzia Kwa miaka miwili? Ufaulu huu ulipatikanaje? Cheti hiki kilipatikanaje? Hivi ukiwa mzazi, unaweza kuridhika kabisa na mwanao kuwa na Hali hii baada ya muda wote huo kutumia masomoni? Hivi wanapokoswa kazi, wa kulaumiwa ni nani?
 
Ni kweli. Sasa wewe maisha mepesi,iweje uwaonee wivu hao wanaohangaika wakapate kuiona kesho? Ungekuwa na busara ungemshauri njia sahihi. Lakini leo unaona upeleke kwenye vyombo vya sheria. Uwezo wake unaujua? Je ukienda ukakuta hajafoji?
Pole, huyu mtu mwenyewe Hana kazi. Relax,,pili, ukitoa maelekezo mazuri hapa, tutawasaidia na wengine ambayo kwenye soko la ajira wanashindwa kupenya Kwa sababu ya kushindwa kwenye usahili.
 
Kwanza, sijasema popote kwamba huyu mtu ni muajiriwa. Pili, sijajenga hoja ya kuhatarisha kazi ya mtu. Nimezungumzia ubovu wa matokeo yake ya awali, uwezo wake mdogo wa kumudu lugha ya kujifunza. Inawezekanaje kwani, mhitimu huwezi hata kuandika sentensi Moja ya lugha ulioitumia kujifunzia Kwa miaka miwili? Ufaulu huu ulipatikanaje? Cheti hiki kilipatikanaje? Hivi ukiwa mzazi, unaweza kuridhika kabisa na mwanao kuwa na Hali hii baada ya muda wote huo kutumia masomoni? Hivi wanapokoswa kazi, wa kulaumiwa ni nani?
Ungekuja kama hivi toka mwanzo,ungepata comments za akili nyingi. Hii ndo hoja ya maana. Angalau hapa umeonyesha kuwa na uzalendo.
Pole, huyu mtu mwenyewe Hana kazi. Relax,,pili, ukitoa maelekezo mazuri hapa, tutawasaidia na wengine ambayo kwenye soko la ajira wanashindwa kupenya Kwa sababu ya kushindwa kwenye usahili.
Tatizo ni moja tu. Wewe umekuja na kiki za msaada wa kisheria. Wanaofoji si kwamba wamependa,na wao wanatafuta njia ya kutoboa kimaisha. JF ni familia kubwa. Watu wa hivi mkiwakusanya wanaelekezwa na hakika wataelewa. Kama mtu unaemfahamu,baada ya kuligundua hilo,ulimshauli nini?
 
Hii ni bongo Mr.
Wengine mpaka wanakuwa ma CEO hawajui lugha ambayo kwenye vyeti vyao imeandikwa.
Magufuli mwenyewe na PhD yake Kiingereza alikuwa hakijui.
Kuanzia form one mpaka PhD na vikozi vingine vidogo kasoma kwa lugha ya Kiingereza.
Kuna shemeji yangu kamaliza kilimo NTA level 5 nilimuuliza vipi vifaranga vinanyonyoka manyoya sababu ni nini. Aliingia google ndo akajibu.
 
Hii ni bongo Mr.
Wengine mpaka wanakuwa ma CEO hawajui lugha ambayo kwenye vyeti vyao imeandikwa.
Magufuli mwenyewe na PhD yake Kiingereza alikuwa hakijui.
Kuanzia form one mpaka PhD na vikozi vingine vidogo kasoma kwa PhD.
Kuna shemeji yangu kamaliza kilimo NTA level 5 nilimuuliza vipi vifaranga vinanyonyoka manyoya sababu ni nini. Aliingia google ndo akajibu.
😂😂😂
 
Kukunyamazia ndo mbolea ya kukuza ujinga na upumbavu. Acha uchawi. Nina imani unaemchongea anakujua vizuri. Kwa hili,bora uangukie kwenye anga zake dadeki. Yaani ahangaikie maisha umletee ufara!? Hoja ni kutounga mkono funza ulizonazo kichwani! We nenda kijijini ujipange. Yaani unajiunga vifurushi kwa ajili ya ujinga!
Hongera sana. Bila shaka una utovu wa nidhamu kiakili. Endelea kuzeeka ufe Kwa presha, kisukali na magonjwa mengineyo kama hayo😂
 
Poa tu. Ila ukweli unatakiwa uambiwe. Acha majungu nanchuki,fanya kazi. Acha wenzio waishi.
 
Sina majungu ndugu yangu. Ulipaswa kutambua kwamba vijana wengi sana wanahangaika kupata ajira Kwa sababu hii. Kilichopo kwenye vyeti hakiakisi uwezo wao wa kufanya Kwa vitendo na kufikiri. Na wengine Wana ufaulu mbovu kabisa Toka awali lakini wamepenya na kumaliza elimu za vyuo vya kati. Pamoja na haya, Bado uwezo wao ni mdogo sana. Wivu wangu uko wapi? Umbea upi nimefanya hapa? Sina maisha ya wivu kabisa Kwa mtu mwingine. Namshukuru Mungu nilipo na ninavyoishi. Tujenge Hoja za kuwasaidia hata watoto wetu Kwa baadae. Akipatikana mtu Leo, akapambania Hili jambo, vyuo vitakiwa makini kutoa wahitimu Bora na washindani. Tusichangie Kwa mihemko TU Kwa kuwa eti tunawafaham wengi wa namna hii. Vipi kuhusu kesho? Bado watu wataajiriwa Kwa misingi ya kujuana? Vipi angekuwa ni mwanao, mdogo wako au rafiki yako? Ateseke na maisha na amesoma na kumbe tatizo lipo kwenye njia yake ya elimu? Tufikirie Hilo na Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom