Kumshusha Diamond sio leo wala kesho

Kumshusha Diamond sio leo wala kesho

wenyewe watasha wana kamsemo kao "You can not be a champ for life one day you will go of and some one else will come"
alikuwepo T.I.D amepita kama upepo
alikuwepo Mr.nice amepita kama kimbunga
ilikuwepo bendi msondo ngoma, wazee wa ngwasuma, mwen'juma muumini na bendi yake lakini hadi leo wamezimika kama taa... sasa hata huyo bwana mdogo ulie muandika asipo kuwa makini nae atapotea kama walivyopotea waliokuwepo kabla yake
katika hii dunia mtu lazima ashuke ili mwingine apande.
 
Kwani kuna watu/mtu anaetaka kumshusha mkuu?
 
Hawa majamaa mnawatukuza kwa mziki gani wanaoufanya?

Ebu tafuta album ya verteller kutoka kwa dizasta unoe ubongo
Mkuu hawa wapenda nyimbo za "anachukua anaweka waa" ndio unawashauri wamsikilize huyo fundi Dizasta?
 
Back
Top Bottom