Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama.
Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia mashoga, dada au mdogo wako kuwa mumeo anakukuna sijui monster 👹 kitandani na blah blah nyingi unakwama.
Unatengeneza mazingira ya wao kumtamani mumeo waone je yaliyomo yamo, ndio maana unasikia kesi nyingi mume kalala na rafiki wa mke wake au ndugu yake.
Hii ipo kwa pande zote ata mwanaume kumsifia mwenza wako sijui kiuno feni au kwamba mwepesi kwa bed sijui anapiga miguu yote unawatia watu tamaa.
Kimsingi badilikeni