Kumsitiri mfalme, wenye nia njema na mapenzi ya kweli watamwambia kuwa "Mfalme uko uchi"

Kumsitiri mfalme, wenye nia njema na mapenzi ya kweli watamwambia kuwa "Mfalme uko uchi"

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama.

Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme.

Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA RAIS SIYO MUNGU NI MTUMISHI WETU, AMEKOSEA AKINA KITENGE AND Co. LTD WANASEMA AMEMTUKANA RAIS.

1690625407684.png
 
Mfalme mwenyewe ameshajua yuko uchi, na ameamua makusudi kuziba masikio, sasa hapo sijui inakuwaje..
 
Hapo Tanga Mjomba mnamuita " Mkaza Shangazi" 😄
wewe wasema
Basi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme basi? Yesu akajibu, Wewe wasema, kwa kuwa mimi ni mfalme.

Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu. Pilato akamwambia, Kweli ni nini? Naye akiisha kusema neno hilo akawatokea Wayahudi tena, akawaambia, Mimi sioni hatia yo yote kwake......TUNDU LISU 😀 😀 😀 😀
 
Amina

Tundu Lisu: Nitamwambia Amka Magufuli nimekumis

Basi yule Akida alijipigapiga kifua akasema Hakika Huyu ni Mwana wa Mungu!
 
Back
Top Bottom