Kumtahili mtoto mdogo wa kiume

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
Heshima kwenu wakuu,Hivi ni muda muafaka unafaa kumtaili mtoto? Tafadhal
 
sijui exactly muda lkn nilisikia kwa mtaalamu kumtahiri mtoto akiwa mdogo sana five below, kuna uwezekano mkubwa uume wake uka kua kidogo zaidi ya inavopaswa,
me naona ten years ndo inafaa, tusubiri wajuzi wengine na ushauri wao
 
Si kweli kwamba kumtahiri mtoto akiwa na umri mdogo kunamfanya awe na kibamia kwani kinachotolewa ni go.vi au kipande cha mb..o? Watu wanakata watoto hata kabla hajamaliza siku40 na ukikua unamiliki gobole vile vile vipistal hayo ni maumbile tu.
 
Ngoja tuwasubili wataalamu wa masuala haya, watusaidie?
 
Bora hata afikishe miaka mitatu!!!!
 
Heshima kwenu wakuu,Hivi ni muda muafaka unafaa kumtaili mtoto? Tafadhal

Uliza wazazi/wazee wako, wao ndiyo watakaokupa maelekezo ya kina.
Umri hutofautiana kutokana na imani za kidini ama kimila na tamaduni tofauti.
Kuna makabila mengine yanatahiri watoto wadogo sana (ndani ya siku 40), wengine hupendelea mtoto aliyeanza kutembea (mwaka 1-2), wengine mtoto wa umri wa chekechea (miaka 3-5).
Sidhani kama kuna sababu za kiafya, ila zaidi ni kiimani, kimila na kitamaduni, jinsi wazee walivyozoea na ndivyo watakavyokuelekeza. Wanaotahiri mtoto ndani ya siku 40 wanasema anapona haraka sana.
 
Kutahiri ni jambo binafsi la mtoto, akiwa hataki kutahiriwa huoni kua utakua umemnyima haki yake ya kua govinda?
 
Nilitahiriwa nikiwa darasa la tano, sijapata tatizo lolote
 
mtoto anatakiwa atahiriwe ndani ya siku 40 tokea azaliwe.....

mi wangu hadi afike miaka kumi,ili aje asimulie na aweze hata kujitambua historia yake.
sasa hivi ana miaka tano japo shuleni wenzie wanamcheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…