Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto anatakiwa atahiriwe ndani ya siku 40 tokea azaliwe.....
khaaaaaaaaaa kabanga jamani katoto ka mwezi kweli kataweza kuhimili maumivu
siku moja kabla ya kuzaliwa!!!!!!!!!!!!, hehehehehe
Heshima kwenu wakuu,Hivi ni muda muafaka unafaa kumtaili mtoto? Tafadhal
Siku nane baada ya kuzaliwa.
Tena anapona haraka sana.
Ndani ya siku 40 ndo safi kabisa
hapana kwa kweli jamanii kanaweza kufa buree
mtoto anatakiwa atahiriwe ndani ya siku 40 tokea azaliwe.....