Kumtahili mtoto mdogo wa kiume

Kwa kufuata Biblia mtoto anafanyiwa tohara baada ya siku ya saba ambayo ni namba ya ukamilifu wa Mungu, yaani amekamilika
 
mhhhhhhh kabanga kaacheni kakue kue kidogo
hapana, kwanza itakuwa ugomvi, jamaa hapo anakaka zake wawili ambao hawajapishana kivile ambao ni fujo mtindo mmoja, nikimuacha akue huyu itakuwa balaa akianza kutambaa
 
hapana, kwanza itakuwa ugomvi, jamaa hapo anakaka zake wawili ambao hawajapishana kivile ambao ni fujo mtindo mmoja, nikimuacha akue huyu itakuwa balaa akianza kutambaa

mhhhhhhhhhh
 
Kwa kufuata Biblia mtoto anafanyiwa tohara baada ya siku ya saba ambayo ni namba ya ukamilifu wa Mungu, yaani amekamilika

........kwahiyo, kwa Yesu kutahiriwa siku mya 8, walikosea !???
 
Kutahiri ni jambo binafsi la mtoto, akiwa hataki kutahiriwa huoni kua utakua umemnyima haki yake ya kua govinda?

..................duuuh !....basi iko siku mtoto atakataa kuzaliwa, maana ni haki yake kuamua kuja Duniani au kubaki tumboni !
 
..

....ndo maana wenye AK 47 tupo wachache siku hizi !!!!

nifunguke?
 
Bibilia inasema mtoto atahiriwe siku ya nane (8). Bahati mbaya Wakristu wengi hawafuati hii sheria ila Mungu ameamuru hivyo.

Kwani ukimtahiri siku ya 8 inasaidia nini...mimi ni mkristo lakini nitamtahiri mwanangu akiwa na miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…