Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Unamtoto mdogo nini, ulivyo andika kwa hisia.
hahahahaha hapana mkuu muda wangu wa kuitwa mama haujafika bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtoto mdogo nini, ulivyo andika kwa hisia.
mtoto anatakiwa atahiriwe ndani ya siku 40 tokea azaliwe.....
hahahahaha hapana mkuu muda wangu wa kuitwa mama haujafika bado
Mtoto wako utakaye mzaa atafufurahi sana maana atapendwa mpaka basi.
Khaa nini wewe miss neddy....? tena hii nimechelewa wikiendi hii nimpeleke jamaa yangu...khaaaaaaaaaa kabanga jamani katoto ka mwezi kweli kataweza kuhimili maumivu
Khaa nini wewe miss neddy....? tena hii nimechelewa wikiendi hii nimpeleke jamaa yangu...
hapana, kwanza itakuwa ugomvi, jamaa hapo anakaka zake wawili ambao hawajapishana kivile ambao ni fujo mtindo mmoja, nikimuacha akue huyu itakuwa balaa akianza kutambaa
nina timu ya madume......mhhhhhhhhhh
mhhhhhhhhhh
Siku nane baada ya kuzaliwa.
Kwa kufuata Biblia mtoto anafanyiwa tohara baada ya siku ya saba ambayo ni namba ya ukamilifu wa Mungu, yaani amekamilika
umeona eeeeh
Kutahiri ni jambo binafsi la mtoto, akiwa hataki kutahiriwa huoni kua utakua umemnyima haki yake ya kua govinda?
Nilitahiriwa nikiwa darasa la tano, sijapata tatizo lolote
Heshima kwenu wakuu,Hivi ni muda muafaka unafaa kumtaili mtoto? Tafadhal
Bibilia inasema mtoto atahiriwe siku ya nane (8). Bahati mbaya Wakristu wengi hawafuati hii sheria ila Mungu ameamuru hivyo.
.........utakuwa m'bara wewe !