Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Azimio la Rais Donard Trump la kumtaka Tedros ajiuzulu limechukua sura mpya ambapo chama cha Republican kinataka kuweka mazingira ya kumtaka Tedros ajiuzulu kwa sababu ya kushindwa kudhibiti HIV na sasa COVID-19.
Sababu hizi zinaweza kutumika kama silaha kuu ya kuhakikisha Kiongozi mwingine atakayeendana na matakwa ya wakubwa anaingia WHO.
Nyuma ya Tedros kuna sauti ya Africa na umoja sauti ambayo haiwapendezi wakuu.
Nawaza taratibu tu.