Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Kabisa kwenye hili suala WHO wamefeli vibaya mnoooooItakuwa vizuri akirising hili kulinda heshima yake maana Amefeli vibaya sana tangu cov19 kuanza.
Acha upuuzi WHO haina daktari wala Mwanajeshi wala haina kizalisha pesa. Hao wabwekaji Trump na wenzake ndiyo waliojaa WHO na ndiyo watunga sera. Unawaza kitoto asks na ukumbuke kuwa sera za WHO zimetungwa na huyo huyo USA leo zinamuumiza anabwatuka.Ivi wewe kweli una macho au huoni kila kitu unaleta siasa aya kabla hujatushawishi na sisi tuamini kuwa ni kweli Trump anataka kumuonea Tedros em orodhesha achievement za bwana Tedros since alivyotake power orodhesha achievement zake zote alafu na mimi nitakuorodheshea failure zake.
alafu tukae chini tuone wapi ame perform zaidi kwenye either kwenye mafanikio au kwenye mambo aliyofeli vibaya sana. Waafrika tuache ujinga wa aina hii kiukweli tutachelewa sana kwenda mbele kama ikiwa kila pale Muafriaca anapokoselewa basi nyie hufikiria kuwa ni hila tu pasipo kuangalia kama yanayosemwa ni kweli au la!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza unajua maana ya WHO kama utakua unajua maana yake basi hutorufia kuandika hoja za kitoto namna hii tafakari!!Acha upuuzi WHO haina daktari wala Mwanajeshi wala haina kizalisha pesa. Hao wabwekaji Trump na wenzake ndiyo waliojaa WHO na ndiyo watunga sera. Unawaza kitoto asks na ukumbuke kuwa sera za WHO zimetungwa na huyo huyo USA leo zinamuumiza anabwatuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wew unataka uongozwe na mabeberu ili yakutawale vizurItakuwa vizuri akirising hili kulinda heshima yake maana Amefeli vibaya sana tangu cov19 kuanza.
Ni yupi amekataa COVID-19 siyo pandemic.Kuwa na utulivu wa akili anapotaka kufikisha hoja yako.Hoja hubomolewa na hoja na siyo viroja.Msijiingize kichwa kichwa kwenye minyukano ya china na marekani, kama ugonjwa unaambukiza kwa njia ya hewa na watu wanasafari kila muda dunia nzima unawezaje kusema hauwezi kuwa pandemic....yaani JF imejaa viazi kweli..
Hii kauli sio nzuriKwahiyo wew unataka uongozwe na mabeberu ili yakutawale vizur