Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki?
Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana mwanzo wa tukio wala mwisho wakati yeye ndio amehaso kule Mbagala kuhamasisha watu wanunue tiketi, kijana wa watu anapambana kuifanya Yanga iwe juu zaidi halafu mswahili mmoja tu ambaye amefukuzwa SImba anakula raha kwa kufanya promo kwenye Wasafi Media utadhani redio hiyo inasikika nchi nzima, halafu unawaletea watu Mobetto.
GSM mnakaa pale mnafanya show ya maana ndio kumleta Mobetto na kuvalishwa fulana na domo la ndege, hii maana yake ni nini sasa.
Halafu mmedhihirisha kuwa bila ushirikina wachezaji wenu ni wa kawaida tu, hivi kweli muifunge Kaizer Chief bao 4 halafu mhangaike kuifunga Red Arrows hadi mchezaji atolewe nje kwa red card, kweli kama sio timu yetu kutegemea majini ni nini.