OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata shughuli ya kuvunja kikoba huwa kuna ratiba na protoko. Hata harusi na birthday zina ratiba na protoko sembuse shughuli inayokusanya watu 60k? Haya maujinga hata nyinyi hamyafurahii ila hamtaki kuonyesha kuchemka.Pale ni siku ya furaha mkuu ,siyo siku ya maprotokali...Lengo la manara ni kuamsha VIBE tu....Kama ulivyoona wakati azizi anatambulishwa Manara alilitajka jina la Mobeto Makamu akawa anacheka tu ....Sijaona kosa la Manara....Wanegekuwa wanazindua kisima cha maji halafu manara akamtambulisha Mobeto hapo ingekuwa chaka.
Igeni Simba fans, ujinga wanaita ujinga na wanasimamia hivyo kwa kufikisha ujumbe kwa viongozi