Kumtambulisha Hamissa Mobeto mbele ya Makamu wa Rais ni upuuzi wa kiwango cha kimataifa kwa Haji Manara

Hata shughuli ya kuvunja kikoba huwa kuna ratiba na protoko. Hata harusi na birthday zina ratiba na protoko sembuse shughuli inayokusanya watu 60k? Haya maujinga hata nyinyi hamyafurahii ila hamtaki kuonyesha kuchemka.
Igeni Simba fans, ujinga wanaita ujinga na wanasimamia hivyo kwa kufikisha ujumbe kwa viongozi
 
Simba hawana furaha, hawana kombe,
Wapo tu na majonzi kwanza waluchelewa kumaliza
 
Makamu wa Rais Dakta Phillip Mpango alijiskia aibu sana na kusikitika sana, second command wa nchi mnamletea dharau na uhuni mbele yake..
 
Wajinga kweli.
Wajinga ni nyie hapo mashabiki jana mnachekelea na kutoa meno nje kama makobelo nyani ngiri huku mnaacha Dakta Phhlip Isidori Mpango Makamu wa Rais anaaibishwa hadharani kabisa kwa vitendo vya kutia aibu kabisa, hata marehemu Manji kiprotokali hamkumpa heshima aliyostahili...[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kwenye mechi ndio kabisaaa,, hadi mmesaidiwa kushinda na refa wa hovyo anayechezesha mapinduzi wa zanzibar, mnawaacha akina Arajiga mnaenda kuchukua takataka
 
Kwahiyo mlitaka GSM amtambulishe dada yake? Ile ilikuwa Planned pia ,kwanini isiwe Zaylissa? Pale watu wanazingatia maokoto ya club ,au haujaona kama biashara pale ilifanyika kwa hamisa kuvalishwa JEZI ya yanga tena na Azizi Ki? Hauni itaboost mauzo?
 
Amphibia
 
Aiseeeee, yamekuwa hayo tena.
 
Kwani makamu wa Rais ni nani? Acha kuabudu watu!
 
Watu wenye akili tulipoona mpira umeingiliwa na siasa za kipumbavu tukajiondoa
 
Kwa kweli kama mimi YangaDam sijakipenda kile kitendi.Ule sio weledi kabisa,ukemewe na wananchi wastaarabu wote
 
Ungefahamu aklili za wabongo zinavyopenda mambo ya kijinga kijinga hata usingeshangaa, wanawapa mnachopenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…