Ulikuwa unaiangalia Simba au Doumbia?Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti
Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo morice kamalizia limefanya niishiwe nguvu
Nashindwa kuelewa kocha naona kitu gani ambacho si hatukioni mgunda kapewa dk chache angalia effect yake goli mbili za mwisho zimeanzia kwake ni upuuzi kuendelea kumpa nafasi mtu ambaye anahitaji muda huku ukiacha mtu ambaye yupo tayari na anaweza kukupa matokeo
Kocha anatakiwa ajifunze kutoa nafasi Kwa wachezaji wakiprove wapewe namba mfano kelvin nashon,mgunda etc sio unang'ang'ania mtu mmoja
Kikubwa tuneshinda ushindi mnono sanaToka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti
Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo morice kamalizia limefanya niishiwe nguvu
Nashindwa kuelewa kocha naona kitu gani ambacho si hatukioni mgunda kapewa dk chache angalia effect yake goli mbili za mwisho zimeanzia kwake ni upuuzi kuendelea kumpa nafasi mtu ambaye anahitaji muda huku ukiacha mtu ambaye yupo tayari na anaweza kukupa matokeo
Kocha anatakiwa ajifunze kutoa nafasi Kwa wachezaji wakiprove wapewe namba mfano kelvin nashon,mgunda etc sio unang'ang'ania mtu mmoja
Hii naweza kuamini maana sio kwa kulazimisha kule acheze kila mechi ili kiwango kipande. Na Mungu si Juma Nature huyo Doumbya mechi 10+ jamaa bado kituko. Mwenzanke Mgunda assist moja na pre assist 1 kwenye mechi moja . Kwa mtindo huu hata ile ya Loemba kuwa kaletwa na Jayrutty kwa hiyo asicheze ni kama kuna kaukweli fulani hivi. Maana kwanza wamefrustrate Loemba naye kaingia kwenye mfumo maana sasa hivi kama kachanganyikiwa fulani hivi halafu wanamuweka benchi anaoza taratibu ili ikifika dirisha dogo wakimtema kusiwe na kelele.Doumbia kasajiliwa na Mo ni lazima acheze, shida sio bench la ufundi bali maagizo ya Tajiri. Mhindi wetu hataki aonekane amesajili ghalasa la mpira.
Ni kweli, pale Simba mchezaji asipoletwa na pesa ya Mo, huyo mchezaji hana nafasi kwenye kikosi.Hii naweza kuamini maana sio kwa kulazimisha kule acheze kila mechi ili kiwango kipande. Na Mungu si Juma Nature huyo Doumbya mechi 10+ jamaa bado kituko. Mwenzanke Mgunda assist moja na pre assist 1 kwenye mechi moja . Kwa mtindo huu hata ile ya Loemba kuwa kaletwa na Jayrutty kwa hiyo asicheze ni kama kuna kaukweli fulani hivi. Maana kwanza wamefrustrate Loemba naye kaingia kwenye mfumo maana sasa hivi kama kachanganyikiwa fulani hivi halafu wanamuweka benchi anaoza taratibu ili ikifika dirisha dogo wakimtema kusiwe na kelele.
Tetea matokeo ya mechi, si kazi yako kumtetea mchezaji mmoja mmojaKumtetea Dumbya ni kazi wazee