Kumtetea mama kwa kipindi ni kazi kubwa sana je tutegemee nini?

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Aisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa...

Afanye yafutayo
1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika

2.Atoe full support kwa family zilioathiriwa

3.Akubali katiba mpya

Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya madhehebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
 
Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya made hebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
Atatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
 
Umeandika point sana sema edit kdg hap kweny madhehebu
 
Aisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa...

Afanye yafutayo
1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika

2.Atoe full support kwa family zilioathiriwa

3.Akubali katiba mpya

Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya madhehebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
Samia siyo rais na ccm wote wanaomuunga mkono ni wahalifu .....Samia na ccm vyote vinatakiwa kuwa chini ya ulinzi
 
nafikiri hili ndio shimo baya zaidi tunataka kudumbukizwa
Tudumbukizwe mara ngapi mkuu kwani haya matamko yanayokinzana unadhani yanaamaanisha nini. Watatumia njia yoyote kufanya devide and rule na hapa dini ndio kete rahisi kabisa maana, udini ukiwa ndio point hakuna logic utaitumia mtu akuelewe
 
Tumeshapoteana, sioni usalama wa yoyote wenye uwezo wa kuchukua hatua wasipogutuka. "we are doomed"
 
Atatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
Hiyo karata ndo inaenda kumdumbukiza kabisa Shimoni na ndo utakua mwisho wake
 
Kwa Ile video BAKWATA waliotetea ukatili ule, Sasa wanatafuta pa kuficha sura yao kwa aibu.
Nimewaheshimu masheikh wa ukweli SHURA YA MAIMAM.
Wale ndiyo waislam walioshika dini yao siyo waganga njaa walio lambishwa asali na wahuni wanamtandao.
 
Tumeshapoteana, sioni usalama wa yoyote wenye uwezo wa kuchukua hatua wasipogutuka. "we are doomed"
Unadhani kuna kitu unachokiona wewe ila wao hawakioni mkuu. Kupoteza mamlaka si kitu waafrika tuliumbiwa,
Kiongozi anaweza ona kheri nchi ichafuke, raia wawe maskini wa kutupwa na mataifa yampige vikwazo vyote lakini asiondoke kwenye kiti
 
Huyu ajuza ni zaidi ya shetani.

Baada ya hii video ya leo sina shaka kabisa ilikuwa ni ritual killing aliyofanya.
Huyu bibi alikuwa anatoa kafara damu za ndugu zetu.
Huyu bibi sio muuaji tu, ni jitu katili mno.

Ukute kwa tabia za mwanae alifanya vitendo vibaya zile maiti, maana nyingi suruali zimeshuka magotini.

We are being led by devils and ritualists.
 
Back
Top Bottom