The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Daah hatari sana yaaniYaan najuta kuangalia video hakuna usalama kabisa vijana wadogo Yarabi
Atatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekheAisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa...
Afanye yafutayo
1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika
2.Atoe full support kwa family zilioathiriwa
3.Akubali katiba mpya
Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya made hebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
Hiyo video inaonekana kwa kutumia darubini tu?Yaan najuta kuangalia video hakuna usalama kabisa vijana wadogo Yarabi
This is too badAtatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
Kaangalie kwa mange kuwatag walizopost wengi wanaharakatiHiyo video inaonekana kwa kutumia darubini tu?
Umeandika point sana sema edit kdg hap kweny madhehebuAisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa...
Afanye yafutayo
1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika
2.Atoe full support kwa family zilioathiriwa
3.Akubali katiba mpya
Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya made hebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
NotedUmeandika point sana sema edit kdg hap kweny madhehebu
nafikiri hili ndio shimo baya zaidi tunataka kudumbukizwaAtatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
Samia siyo rais na ccm wote wanaomuunga mkono ni wahalifu .....Samia na ccm vyote vinatakiwa kuwa chini ya ulinziAisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa...
Afanye yafutayo
1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika
2.Atoe full support kwa family zilioathiriwa
3.Akubali katiba mpya
Kanisa Catholic na Lutheran wamepinga wazi wazi na ni moja kati ya madhehebu yenye watu wengi .. Waislam mnabidi jitafakarini upya mje muombe msamaha
She will never get healed
Tudumbukizwe mara ngapi mkuu kwani haya matamko yanayokinzana unadhani yanaamaanisha nini. Watatumia njia yoyote kufanya devide and rule na hapa dini ndio kete rahisi kabisa maana, udini ukiwa ndio point hakuna logic utaitumia mtu akuelewenafikiri hili ndio shimo baya zaidi tunataka kudumbukizwa
Tumeshapoteana, sioni usalama wa yoyote wenye uwezo wa kuchukua hatua wasipogutuka. "we are doomed"Tudumbukizwe mara ngapi mkuu kwani haya matamko yanayokinzana unadhani yanaamaanisha nini. Watatumia njia yoyote kufanya devide and rule na hapa dini ndio kete rahisi kabisa maana, udini ukiwa ndio point hakuna logic utaitumia mtu akuelewe
Anazingua sema uzuri vijana wa sasa tunawachora tu na upuuzi waonafikiri hili ndio shimo baya zaidi tunataka kudumbukizwa
Humu ndan jf mbona ipo kakaHiyo video inaonekana kwa kutumia darubini tu?
Hiyo karata ndo inaenda kumdumbukiza kabisa Shimoni na ndo utakua mwisho wakeAtatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
Unadhani kuna kitu unachokiona wewe ila wao hawakioni mkuu. Kupoteza mamlaka si kitu waafrika tuliumbiwa,Tumeshapoteana, sioni usalama wa yoyote wenye uwezo wa kuchukua hatua wasipogutuka. "we are doomed"