Vijana wa karne hii ambao ndio wakombozi sio wajingaTudumbukizwe mara ngapi mkuu kwani haya matamko yanayokinzana unadhani yanaamaanisha nini. Watatumia njia yoyote kufanya devide and rule na hapa dini ndio kete rahisi kabisa maana, udini ukiwa ndio point hakuna logic utaitumia mtu akuelewe
Kama upo ndani ya hao jamaa, right now kinachooneka a idadi ya chawa imeshuka vibaya mnoWale ccm og nao wajua mm huku kitaa mwaka huu walikua kimyaaa maana tunajuana huku mtaani yaan walikua wapole ule utani tumeuzoea haukuwepo mm nikajua tu hawa nao wanaumia kimya kimya tu.Mama ana upinzani mkubwa kwanza ndani ya chama na nje ya chama +karikologa la wananchi sasa
Hiv kweli usalama wa Taifa mnamlinda huyo mama zaidi ya Taifa zima?Atatumia karata ya udini ndo ameenza kuimobilize kwa sasa sema ndo itakuwa mbaya zaidi japo vijana wa sasa wa kiislam sio mazombi kama hao mashekhe
Wanaomlinda ndo wajinga zaidi.Unadhani kuna kitu unachokiona wewe ila wao hawakioni mkuu. Kupoteza mamlaka si kitu waafrika tuliumbiwa,
Kiongozi anaweza ona kheri nchi ichafuke, raia wawe maskini wa kutupwa na mataifa yampige vikwazo vyote lakini asiondoke kwenye kiti
Usalama wa taifa huwa naamini ni taasisi kubwa sana lakini sometimes huwa najiuliza. Wanajali maslahi ya taifa kama jina lao au wapo chini ya serikaliWanaomlinda ndo wajinga zaidi.
Inaonekana usalama wa Taifa ni dhaifu sana mbele yake.
Lakin naamini bado kuna wazalendo.
Pia Damu za watu zitamlilia tu
Hapana Tiss wanalipwa marupurupu makubwa sana kwa sasa hivyo hawaezi kumwajibisha kwa sasaHiv kweli usalama wa Taifa mnamlinda huyo mama zaidi ya Taifa zima?
Who is her to Tz? Kwamba yeye ni alfa na omega ya Tz?
Hebu muwajibisheni kurudishwa heshima na amani ya nchi hii.
Vinginevyo hali itakuwa mbaya zaidi kiusalama. Nchi haitatulia hii.
Naamu. Inabidi wa polepole unaweza kutimia. Atakuwa Rais wa kwanza kufungwa