Kumtolea mahari mfungwa ili akiachiwa tuoane

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Wakuu kuna mdada mzuri sana amefungwa na anatarajia kuachiwa baada ya muda fulani (sio mfupi), nauliza kuwa naweza kumtolea mahari muda huu ili akitoka tu nimwoe? Ni mzuri sana na ni star.[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Huyo atakuwa ni Lulu tu. Lipia mimba tu utakiona cha moto.
 
Toa mahari, muda si mrefu atatolewa kwa msamaha wa Bashite
 
Mbaya zaid mwenzako kanumb alikua anafahamika dunia nzima wewe hata balozi wa nyumb kumi hakufaham ukiangukia kichoko utazikwa na imamu au kama ni padri atatuma katekista au nabii Titto
 
ununue helmet mate

uwe nazo nyingi ikiwezekana hata wakati wa kuoga uivae
 
Mbaya zaid mwenzako kanumb alikua anafahamika dunia nzima wewe hata balozi wa nyumb kumi hakufaham ukiangukia kichoko utazikwa na imamu au kama ni padri atatuma katekista au nabii Titto
duh nimecheka mpaka machozi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…