Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wakuu kuna mdada mzuri sana amefungwa na anatarajia kuachiwa baada ya muda fulani (sio mfupi), nauliza kuwa naweza kumtolea mahari muda huu ili akitoka tu nimwoe? Ni mzuri sana na ni star.[emoji7] [emoji7] [emoji7]