Kumtuma mchezaji akaroge ni aibu

Umefungwa na ihefu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna wachezaji hizi timu unakuta anakiwango kibovu ila bado yupo tu klabuni kumbe anaspecial department na anaifanya vizuri.

NB:Kama timu waliweza kuroga hadi mchana pale Kwa Madiba,hili kwao ni jambo la kawaida sana
 
Mtani hapo kwenye tambiko hatarishi tumewashindwa..!! Ila wanasimba wachawi jamaniii..!! Mnaroga ndani na nje ya nchi yaani..!!!

Kalpana na GENTAMYCINE ipo siku na nyie mtatumwa mkaroge. Mwenzenu Mshana Jr amefuzu
Hili nitarudi nalo Saa 4 na Robo au Saa 4 na Nusu Niki Log In tena hapa JamiiForums kwani Limenikera na Simba SC wamenikera nalo. Usikose huo muda Mkuu sawa?
 
Kwa nchi yetu hili asaivi limekua ni tatizo kubwa mara utasikia kuna timu imetozwa sijui milioni moja kisa wamepitia mlango ambao siyo sahihi kuingia uwanjani,yaani nichangamoto kubwa sana
Nimewahi kuwepo kwenye logistics za timu moja hapa Bongo,wafanyakazi wa viwanja si waaminifu huwa wanahongeka na kufungua mageti ili timu A ikaroge, au wao ndiyo wanatoa taarifa kwa timu nyingine hapo msipite walikuja kumwaga dawa πŸ˜€
 
Hili nitarudi nalo Saa 4 na Robo au Saa 4 na Nusu Niki Log In tena hapa JamiiForums kwani Limenikera na Simba SC wamenikera nalo. Usikose huo muda Mkuu sawa?
Sawa kolo, a.k.a mwana Ihefu, a.k.a shabiki wa George Mpole, mwana timu ya wachawi, mwana timu ya ngada kama Kalpana
 
Inakera sana kwa kweli.
Sipendi kabisa mambo ya uchawi kwenye soka na tuhuma za ushoga kwa wanamichezo. Huwa ni vitu vinanikereketa na kunikera sana ktk michezo.
 
Kwanini wasimtumie hata Babra kwenda kuwanga mchana ule jamani, hivi kweli mchezaji anashiriki hii tena jua kali?

'mamsapu babra' anaroga tiefuefu, wakati wachezaji wanaroga uwanjani....kila mtu kapangiwa majukumu ya wapi pa kuroga na mganga wa timu yetu pendwa...

kuna kingine unataka kujua?
 
Record tuliyoiweka haihitaji faraja ya aina yoyote, kama we kweli kidume ivunje ndio uje tuzungumze kiume vinginevyo jadilianeni jinsi ya kumkana gadiel na wanawake wenzako huko clabun.
Tunashukuru sana kwq ihefu kuvunja mwiko wa 49 huko nyuma hatuna mengine zaidi ya hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…