DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Umefungwa na ihefu[emoji3][emoji3][emoji3]Mpira unakosewa heshima sana siku hizi, hii aibu kwa nchi yetu haiwezi kuvumilika tena, mamlaka zinapaswa kutoa onyo zaidi ya hili la kumfungia mtu mechi 3.
Kwanini wasimtumie hata Babra kwenda kuwanga mchana ule jamani, hivi kweli mchezaji anashiriki hii tena jua kali?
Walivyofanya ulozi kule Bondeni na kutia aibu nchi tulinyamaza, ila hili la kumtembeza mchezaji bila nguo mchana aisee, big no.