Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Aagh wapii..!!Tutake radhi mkuu
Kuna wale waliambiwa wamefanya tambiko hatarishi kule SAKwa nchi yetu hili asaivi limekua ni tatizo kubwa mara utasikia kuna timu imetozwa sijui milioni moja kisa wamepitia mlango ambao siyo sahihi kuingia uwanjani,yaani nichangamoto kubwa sana
Fanyeni na nyie mfike robo fainaliKuna wale waliambiwa wamefanya tambiko hatarishi kule SA
Kumbe mnaroga ili kufika robo fainali..!!Fanyeni na nyie mfike robo fainali
Unatuchimba sana basi logeni na nyie sio mnaloga tuu humu ndani ili muwe unabeaten na juzi mkatawanywa kama mpunga mbarali kisa jezi nyeusi hamjavaa...ila nyie ni wangaaa daah hahahaaahhaKumbe mnaroga ili kufika robo fainali..!!
Vipi, huko uliko saa 4 na nusu bado..???Hili nitarudi nalo Saa 4 na Robo au Saa 4 na Nusu Niki Log In tena hapa JamiiForums kwani Limenikera na Simba SC wamenikera nalo. Usikose huo muda Mkuu sawa?
Simba na uchawi ni sawa tu na CEO na mwekezaji! Yaani huwezi kuwatenganisha.Hao ni kawaida yao, huwa wanakuja na mapaka uwanjani na kuwanga hadharani kwenye nchi za watu sio jambo la kushangaza kwao