Kumtuma mchezaji akaroge ni aibu

Kumtuma mchezaji akaroge ni aibu

Kwa nchi yetu hili asaivi limekua ni tatizo kubwa mara utasikia kuna timu imetozwa sijui milioni moja kisa wamepitia mlango ambao siyo sahihi kuingia uwanjani,yaani nichangamoto kubwa sana
Kuna wale waliambiwa wamefanya tambiko hatarishi kule SA
 
Kumbe mnaroga ili kufika robo fainali..!!
Unatuchimba sana basi logeni na nyie sio mnaloga tuu humu ndani ili muwe unabeaten na juzi mkatawanywa kama mpunga mbarali kisa jezi nyeusi hamjavaa...ila nyie ni wangaaa daah hahahaaahha
 
Mpira wenyewe ni ushetani,sasa hapo ajabu ilo wapi???acha aroge tuuu shetani atawajibu bila shaka
 
Wapiiii jezi nyeusi na kupita milango ya nyuma kwa nkapa?
 
TAARIFA KWA UMMA.

Gadiel Michael sio mchezaji wetu alimaliza mkataba yangu mwezi ulopita, kwahiyo hatuhusiki na wala hatumtambui.

😄😄😄😄
 
Hili nitarudi nalo Saa 4 na Robo au Saa 4 na Nusu Niki Log In tena hapa JamiiForums kwani Limenikera na Simba SC wamenikera nalo. Usikose huo muda Mkuu sawa?
Vipi, huko uliko saa 4 na nusu bado..???
 
Hao ni kawaida yao, huwa wanakuja na mapaka uwanjani na kuwanga hadharani kwenye nchi za watu sio jambo la kushangaza kwao
Simba na uchawi ni sawa tu na CEO na mwekezaji! Yaani huwezi kuwatenganisha.

Ona sasa mpaka wachezaji wanabebeshwa matunguri mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom