Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
- Thread starter
- #21
Record tuliyoiweka haihitaji faraja ya aina yoyote, kama we kweli kidume ivunje ndio uje tuzungumze kiume vinginevyo jadilianeni jinsi ya kumkana gadiel na wanawake wenzako huko clabun.Mnajifariji baada ya ihefu kuvunja mwiko 49 huko nyuma daima