Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Wangemtext mkewe angekuja na bunduki?
 

Yetu macho na masikio

...........[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
 


Salute sana mkuu! Job done and done well.Nimejihisi kuongezea lakini mimi nitaongezea siku za usoni.Let all stones be overturned thoroughly in the first place.
 
Ulitaka washuke wadunguliwe mgongoni au ndivyo mlivyofikiri watafanya, ndio maana mleta mada anasema mliopanga ni zero brain.
 
Zero kabisa tena sifuri, yaiii!
Hivi sasa anatumia vyeti feki..m
 
Reactions: SDG

Hapo kwenye zero ya 4m four kuna jiwe limetupwa gizani.Nimekuelewa mkuu...
 
Ni kweli unachosema..tena kweli tupu..katika darasa la assassination kuna mambo yafuatayo:
Kama mtu unaemtaka kumuelinate kwanza unaangalia kama anajua maisha yaake yako hatarini..kama hajui kama anafatiliwa na hana ulinzi zoezi zima la kumuondoa linaitwa "safe process"..
Kama anajua kuwa anafatiliwa lakinj hana ulinzi zoezi zima linaitwa "chase process".
Kama anajua anafatiliwa lakini anawalinzi zoezi la kumuondoa linaitwa "guaded"
..sasa lissu alikuwa anajua kuwa anafatiliwa maana alishasema..sasa ukiangalia kwa hawa jamaa waliacha factors nyingi sana nje..ni kama viile waliljwa wamechoka kumfatilia lakini pia kama ulivyosema aliyeratibu jambo hili aliuwa na.matatizo ya akili...na hawa nadhan walikuwa na plan moja tu ya kumuua lissu akishuka kwenye gari..walipoona anaendelea kukaa ndani ya gari wakaamua kumimina risas ovyo...kwa kweli dereva wa lissu angekuwa na silaha angewamaliza kiulaini..
Namtakia tundu lissu afya njema na apone..kwa kifupi mbeba maono huwa hafi...
 
mmmmh.!!! kama movie vile ila kumbe ni kweri.....aisee watu wanaroho ngumu,
 
Sasa chukueni hiyo zero brain, connect dot na ile "karumekenge" ya Dar iliyomteka Roma na kuahidi kiziro ziro tena kuwa wahusika waliotekwa watapatikana kabla ya J2 na kweli ikawa hivyo.

Siku baada ya tukio inaonekana Morogoro Asubuhi na mapema ikifanya jogging. Leo mseme haina hata nasaba ya tukio husika. Nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo movie.
WTF.
 

Naomba radhi Mkuu ila kwa maelezo yako haya yaliyojaa ufundi na mbinu za hali ya juu kabisa za Kimedani nashawishika kusema kwamba yawezekana Wewe ndiyo uliyetutesea Tundu Lissu wetu hadi sasa yupo Jijini Nairobi nchini Kenya akiokoa maisha yake.

Naona sasa zile ' albadiri ' zinaanza kufanya Kazi na mnajitokeza wenyewe kutusimulia kile mlichokifanya pale Dodoma.
 
Mpiga risasi kaja kupima upepo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…