No fair at All. Tafakari sanaNaomba kufahamu jambo gani sahihi maana mazingira yaliyopo yananifikikisha naombenj tu ushauri juu ya hili wana JF
View attachment 2026406
Mambo mawili tofauti, hayatakiwi kuingiliana, uwepo wa mojawapo hautakiwi kuathili uwepo wa lingine,bila hivyo unakuwa mtumwa wa hiari.Naomba kufahamu jambo gani sahihi maana mazingira yaliyopo yananifikikisha naombenj tu ushauri juu ya hili wana JF
View attachment 2026406
Alafu wale niniAcha kazi tu mkuu..kazi ya nini.?mwanamke ni muhimu ...maana utakula papuchi kila dakika. ..si mtakuwa tu home...
Bila kazi huwezi kuisha na mwanamke.Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
Sidhani ndugu yangu ila mazingira yananipa nafasi ya kuchagua kimoja hapoBila Shaka utakua umeulizwa... " Chagua kimoja, kuwa na Mimi au hiyo kazi "
Naheshimu mawazo yakoAcha Kazi kwa ajili ya Mke alafu Mke akuache sababu huna kazi utajua hujuii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kazi yenyewe sasa ndugu yanguUna umri gani kijana,, Kama umeambiwa uchague kimoja kati ya hivyo Basi nakuchagulia kazi,, kaka ishike kazi yako km roho,, hapa ndo naona kuwa dogo langu la kiume ni lidume,Kuna kidem kilileta ushenzi na nyodo wa kuanza kumkimbiza dogo eti kwa vile ndo kilikuwa kimeajiriwa na dogo alishatoa mahari nusu akajaa kiburi akasema inabidi dogo aache kazi ili akamuoe na kuishi alipo yeye mwanamke, aliachwa hapo hapo hajaamini mpk leo[emoji28]