Malipo ni humu humu duniani!Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Tulishagutuka honey...Ndiyo maana wanaume wajanja akishaoa anaendelea anasubiri mpaka mwanamke aingie kwenye siku zake ndiyo aanze kutafuta mtoto.
Nimeelewa ni kwanini.
Ungei apply hadi kwangu jamani?[emoji23]Tulishagutuka honey...
π π π π Hii comment ina viashiria vya unafikiSasa ukishachumbiwa boyfriend wa nini eti
Sijabahatika ila nawakumbusha waliochumbiwa