Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

Wanawake ni wakala wa shetani. Hivyo kama ni mawakala wa shetani yatupasa tuishi nao kwa umakini mkubwa sana.
Kumbuka kile kisa cha kwenye biblia cha Adam na Eve.
 
Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Malipo ni humu humu duniani!
 
Back
Top Bottom