Kuna yale manywele wanayoshonea kwa ajili ya kuagwa yanabandikwa mpaka na pini ili yakae vizuri ndio alikuja nayo ghetto yaani alikuwa ana nywele alizotoka nazo kwenye sherehe ya kitchen party ndio akaja ili nimuage. Huwezi kuelewa ila ukikua utajua namaanisha nn
Nimekuwekea na picha kutoka mtandaoni kupanua uelewa wako
View attachment 1147104
Mmmhh wengi ubachelor tutaendelea nao hii kitu haija kaa sawa kabisa [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji85][emoji85]
Ndo maana watoto wengi wa kwanza huwa ni nashaka matupu kweli.Nilipo kuwa mdogo miaka ya 80 huko kuna mdada jirani alikuwa anaolewa, nakumbuka alienda kumuaga mjomba wetu
Haya mambo nyapo siku nyingi
Rare casesAngalia,kuna mwenzio alikwenda kumuaga jamaa yake ikiwa kesho ni harusi yake,jamaa alivyomaliza kumtyomba demu alimfungia kufuli kwa nje demu siku 3 bibi harusi hajaonekana.Na jamaa akasepa zake.
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa
Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako
Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga
Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako
Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao
Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya
Jifunze kuacha
Afadhali kidogo hii ya kumuaga boyfriend kuliko hii kitu wanaitaga 'kuvunja jungu'!Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa
Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako
Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga
Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako
Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao
Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya
Jifunze kuacha
Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
Nimeoa miaka 15 iliyopita na tulikuwa tunasoma Korea, sijui huyo aliyenitombea aliwezaje kuingia kwenye lile taifa la kibabeNa wewe lazima umetombew.a/utatombew.a na mwamba atakuja kukuchora.more you give,more you receive.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeuwaa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeoa miaka 15 iliyopita na tulikuwa tunasoma Korea, sijui huyo aliyenitombea aliwezaje kuingia kwenye lile taifa la kibabe
H ah aha watoto wadogo wanadhani sie maboya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeuwaa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaUkipenda vitu badala ya utu. Lazima utaenda kumuaga bf
ImmaturityKabisa
Halafu ni ujinga
Kazi ipoKwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa