Kumuangalia vyema mtoto wako

Kumuangalia vyema mtoto wako

aah!babu tupishe huko inamaana hujui jins ya kuomba game? nimekuuliza mwanao ushamtoboa maskio? jibu nikuelekeze cha kufanya.
Mwanangu mpya ni dume.
Walah sijui kama najua au sijui,maana mie sijawahi kuombwa na wife,mara zote naanzaga mm.
 
sijakupata vizuri ina maana mkeo mlikua hamjazoeana au ulichaguliwa mwambie sometimes awe anakuchokoza halafu inawezekana anakuchokoza kwa vitendo ila hujamsoma.
Hahaha,ok sasa nisaidie jee nikiona dalili gani nitambue kwamba anataka game?
 
Hahaha,ok sasa nisaidie jee nikiona dalili gani nitambue kwamba anataka game?

hii ngumu kumesa hapa si mahala pake ndugu yangu we mweleze ila siku akizidiwa atakuja mwenyewe.kikubwa atakuonesha ishara ya kuwa karibu sana na wewe kwa siku hiyo
 
hii ngumu kumesa hapa si mahala pake ndugu yangu we mweleze ila siku akizidiwa atakuja mwenyewe.kikubwa atakuonesha ishara ya kuwa karibu sana na wewe kwa siku hiyo
Ok,kama hapa ngumu kumesa then nipelekee haya ma education kule mafichoni aka pm then ntayakuta huko.
 
tatu kwa nakishi yyte ile.
Kuna Mwanamke mmoja kaniambia Doctor mzizimkavu mimi ninavaa shanga 50 nilishangaa sana nikamuuliza wewe ni kabila gani akajibu ni mzaramo kasheshe kweli iweje avae hizo shanga50 sio mzigo huo kiunoni unasemaje mkuu... gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Kuna Mwanamke mmoja kaniambia Doctor mzizimkavu mimi ninavaa shanga 50 nilishangaa sana nikamuuliza wewe ni kabila gani akajibu ni mzaramo kasheshe kweli iweje avae hizo shanga50 sio mzigo huo kiunoni unasemaje mkuu... gfsonwin

labda mchawi lolest! shanga zake 3na kwasisi tuliokulia zamani tukaenda unyago tuliambiwa nini maana ya hizi shanga 3 kiunoni. sijui nguo inakaaje jamani.
 
Kumpa maziwa kwa chupa



Kama unamlisha mwanao kwa chupa, hakikisha umechanganya maziwa hayo sawasawa ili mtoto apate malisho yanayofaa. Pia zungumza na daktari wako wakati utaanza kumlisha mwanao mchanganyiko (familia) ulio na ‘iro’.

Vipi, lini na nini unalisha mtoto wako ni muhimu. Kila kitu kutoka aina yamchanganyika, joto la mchanganyiko na aina ya chupa unazotumia hujalisha. Unaweza ujumbe huu kutoka kwa daktari wako au kliniki.

Hakikisha umemuliza daktari wako kuhusu utakapoanzia kumpa mtoto wako chakula kikavu. Hata kama mtoto wako ataanza kujaribu kukifikia/kushika kijiko, ni vizuri umuulize daktari kwanza.


Kumuosha mwanao



Ni vizuri kumweka mwanao safi na mkavu km. kumgeuzia ‘nappy’ mara kwa mara. Hakikisha kuosha napi vizuri baada ya kuchafuliwa. Uso, sehemu za siri na mikono ya mtoto wako zinafaa kuoshwa kwa sifongo (sponge) kila siku. Unafaa kumwosha mwili wote baada ya siki mbili au tatu. Watoto wachaga bado wana ugue wa kitovu. Unapaswa kumwosha kwa sifongo hadi wakati ugue huu utakatika kabisa. Uoshe ugue huu kwa uangalifu mwingi na utumie mvinyo (spirit) wa upasuaji uliotiwa kwa kitakia cha katani. Usivute ugue wa kitovu unapaswa kujiangusha mwenyewe.

Usije ukamwacha mwanao ndani ya karai la kuogea. Watoto wanaweza kufa maji yaliyofika inchi mbili tu. Unapomwosha, hakikisha una vifaa vyaa kumwoshea, sabuni na kadhalika ili usimwache mwanao kwa karai la kuogea bila wakumwangalia unapoenda kuvichukua.

Maji yaliyo moto sana huenda yakamchoma mwanao. Kama unakifaa cha kupasha maji moto weak kwa joto la 49oC . Pima joto la maji kwa kiko cha mkono wako. Kabla hujamweka mwanao ndani na uhakikishe maji ni vuguvugu


Kumvisha nguo



Mvishe mwanao na kunjo moja zaidi wakati yu mchanga na jiepushe na kumwacha mwanao kuliko na baridi kwa muda mrefu.
Watoto hupoteza joto haraka sana, hivyo hakikisha umewafunika kichwa na miguu
Wakati kuna joto jingi, mweke mwanao mbali na jua. Linda mwanao kna nguo za mikono-mirefu(long-sleeve), nyepesi na umweke kivulini
Nguo zote mpya zinafaa kufuliwa kabla ya kutumia

Kuota meno



Mtoto wako atakapofikisha miezi sita, ataanza kuota meno. Watoto wengine huanza kkuudhika kwani huumia kabla meno hayajatokea kwa ufizi. Watoto wengi humwaga mate sana na hutaka kutafunatafuna vitu. Wakati mwingine watoto hutapika au kuhara wakiota meno.

Kwa kawaida kuota meno hakufanyi mtoto kupandwa na joto. Kama mtoto wako atapata joto. Kama mtoto wako atapata joto, yaweza kuwa jambo lingine. Hakikisha umemwona daktari wa watoto.

Mawaidha wakati mtoto anaota meno
Wakati wa kulala, weka kitambaa safi chini ya kichwa cha mwanao ambapo ule utamwagika. Unaweza kibadilisha kitambaa hichi kitakapo loweka ute.
Mpatie mtoto kitu cha kutafuna ambacho hakitamdhuru. Usimpatie kitu kidogo sana kwani anaweza kukimeza. Unaweza kumpatia vidunde vya mpira visivyokuwa na majimaji ndani kwani vyaweza kupasuka. Unaweza kumpa kijiko cha mpira au kitambaa safi.
Usifungilie kidunde cha kutafuna kwa shingo ya mwanao. Kinaweza kushikwa na kummyonga.
Kuna dawa nyingi dukani za kupiunguza maumivu wakati mwanao anaota meno. Hata hivyo, mwone daktari wa watoto kabla jujampa mwanao dawa yoyote

Baada ya mwanao kuota meno hakikisha unayatunza

mzizi mkavu msaada wako unatakiwa Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya watoto, Afya ya watoto, Saikoljia, Tabia na Haki za Watoto okoa maisha ya watanzania wenzako.
 
Back
Top Bottom