Kumuelezea mpenzi wako historia yako ya kimapenzi kwa ulipotoka ni sawa?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
wengi walio kwenye uhusiano mpya huwa wanapenda kumwambia au kumuelezea mpz wake historia yake ya kimapenzi uko alipo toka,utakuta mpz wako anakwambia yaan nilikuwa sijatulia kweli yaani nilikuwa mtu wa mademu au wanaume sana yaan nilikuwa napenda sana starehe.je ipo sana?
 
Ni vizuri tu uniambie nijue nitakuhandle vipi. Lol.
 
Reactions: BAK
Just tell half truth....
Ukweli mwingine unaumiza mno....
Mimi binafsi huwa sipendi kuambiana yaliyopita...
Bora ukweli ujitokeze ndo udai maelezo..
Sio kuchimbua chimbua mashimo....

All women have skeletons in their closets.....trust me...
Ooh and men also....
 
unaweza kumueleza kiyasi ili ajue nini unapenda na nini hupendi au kosa alofanya mwenzake yeye mpz mpya asije akalifanya,lakini kusema yote mbona hata kuagana hamuagani kila kitu kinaishia hapo.
 
Past ni siri ya mtu unauhakika gani hayo uliyosimuliwa yet ndio all about past ya mpenzi wako?Kama hakuna umuhimu wa kufanya hivo sidhani kama ni busara sana kusimulia your past,kuna past nyingine zinatia ganzi kuzisikia
 
Kuna mtu aliimba "if u want my future, forget my past"!

sidhani kama ni busara kusimulia past, especially in details!; mara nyingi inabomoa kuliko kujenga; tujiulize objective yake ni nini kwanza?
 
Mmmmmmh hii ngumu, especially kwa nyakati hizi enzi zetu ilikuwa haina ubaya kwani tulikuwa na mapenzi ya kukimbiana si siku hizi kila mpenzi date ya kwanza kitandani..
 
Huu mtihani, mimi binafsi napenda kujua, ila roho huwa inaniuma saaanaaaa...
 
Wengine tukiongelea HISTORIA zetu ndoa inavunjika muda huo huo!


Hahahhahahahhahaaaaaaaaa...........Ohh my!

Mimi nitajali sana kuanzia pale tulipokubaliana kwenda mbele, hayo ya nyuma kwa kweli hata kama nitayajua hayata athiri maamuzi yangu ya mwanzo (ila hiyo past yako isiwe umemtelekeza mdada na mtoto)
 
Mm naona haina haja ya kumweleza chochote.yaliyopita si ndwele 2gange yajayo
 
Halafu historia ziko mbili

kuna historia ya mahusiano...mfano
utaambiwa nimewahi kuwa na boyfriend watatu tu...

Halafu kuna historia ya one night stands...mfano
nani atakwambia nimewahi kuwa na night stands 20?????????

Siku zote ukiuliza historia utatajiwa historia ya kwanza tu....
 
Dear hivi si vitu vya kumwambia na vitakugharimu mbele ya safari..,na tena vyaweza kuwa SI unit yako kwani vitarudiwa rudiwa kama wimbo
 
Just tell half truth....

Haha...nusu ukweli ndo upi!?? nilishakuwa na mademu wanne ilhali ni wanane?
Ama
Mimi sijawahi ku-do, nimekiss tu ilhali sivyo
Ama
Demu wangu wa kwanza tuliachana over small disagrements ilhali alikufumania?!

"...and the truth shall set you free" - Jesus
Where do we apply this!??
 
Don't get frustrated with things you can't control forget about changing them, instead learn what the rules are and use them to your benefit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…