BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
wengi walio kwenye uhusiano mpya huwa wanapenda kumwambia au kumuelezea mpz wake historia yake ya kimapenzi uko alipo toka,utakuta mpz wako anakwambia yaan nilikuwa sijatulia kweli yaani nilikuwa mtu wa mademu au wanaume sana yaan nilikuwa napenda sana starehe.je ipo sana?
Ni vizuri kujua bhanaaaa! unaficha historia yako ili iweje? Si bora tu uwe mkweli tangu mwanzo wa mahusiano kuliko kuamua kumdanganya mwenzio. Haya mambo ya kudanganya danganya ni moja ya sababu mahusiano mengi yanakuwa hayana maisha marefu hasa ikitokea jamaa/dada kuja kujua historia ya mwenzie kupitia kwa watu wanaomfahamu.