Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Lissu amemmaliza Membe! Membe angeungwa mkono na wana CCM ila wanaona alivyozidiwa na Lissu kwa hiyo wanajua hashindi wameachana naye.
Kumuengua Lissu ni kumfanya Lissu amuunge mkono Membe na hivyo kuwapa moyo hadi wale wanaCCM wamuunge mkono. Lissu anaweza kuenguliwa kwa makosa yake ya ujazaji fomu ila sio kwa kusingiziwa.
Hivi leo alienda kuhakiki fomu zake? Au ndio kesho anaenda kupambana na tume hapo kwa hapo?
Binafsi naona hakuna sababu ya kumuengua. Aachwe akashindwe kwa Wananchi.