Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Huyu kaka anasumbukaga balaa na mimacho yake😣😣ovyo Sana .hawez pewa cheo chochote kilehuyu nuxPole sana Mkuu ,Pamoja na kuunga mkono juhudi bado haujapewa hata UDAS!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kaka anasumbukaga balaa na mimacho yake😣😣ovyo Sana .hawez pewa cheo chochote kilehuyu nuxPole sana Mkuu ,Pamoja na kuunga mkono juhudi bado haujapewa hata UDAS!!
Cdm kubalini mgombea wenu hafaiii ata kidogooo. Amepanic mapemaaaIli tujue watanzania ni wajinga au sio wajinga, Tundu Lissu asifanyiwe figisu wananchi waamue kwenye sanduku la kura!
Hatuwexi kukubali tume yetu itengeneze rejea chafu kwa siku za usoni.Piga chini ni uxembe wake.Kuchamba kwingi. Amemdhulumu Nyarandu haki yakeIli tujue watanzania ni wajinga au sio wajinga, Tundu Lissu asifanyiwe figisu wananchi waamue kwenye sanduku la kura!
Angalau nimejaribu kukuelewaLissu amemmaliza Membe! Membe angeungwa mkono na wana CCM ila wanaona alivyozidiwa na Lissu kwa hiyo wanajua hashindi wameachana naye.
Kumuengua Lissu ni kumfanya Lissu amuunge mkono Membe na hivyo kuwapa moyo hadi wale wanaCCM wamuunge mkono. Lissu anaweza kuenguliwa kwa makosa yake ya ujazaji fomu ila sio kwa kusingiziwa.
Hivi leo alienda kuhakiki fomu zake? Au ndio kesho anaenda kupambana na tume hapo kwa hapo?
Binafsi naona hakuna sababu ya kumuengua. Aachwe akashindwe kwa Wananchi.
Itabidi hata sisi wengine ambao hatuna vyama watuonyeshe hizo fomu ili tuzione. Isije kuwa kuna vipengele vinavyoihusu ccm tu, na wengine wakijaza kwenye vipengele hivyo fomu inakuwa imeharibika.Eti wanadai mpk uwe na kadi ya ccm ndiyo unaweza kujaza fomu kwa usahihi. CCM ni mdudu mbaya Sana.
Ni hatari sana!Shubuda keshachukua advance na Lipumba alitarajiwa kupewa leo kwa kazi ya kumvuruga Tundu lisu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Kama kelele za kusema Lissu anapita kujinadi na kutangaza kuwa kapigwa risasi 16 nyie CCM ndo mmesababisha na nawaambia ukweli lazima aongee tu ukweli. Kwani mngemuacha kiumbe wa Mungu bila kumfanyie unyama ule angelisema Leo..?Unajua saa zingine unaweza sema kwanini hupati hela. Ukajua unalogwa basi utaenda kwa mganga naye atakwambia. Umelogwa😆😆😆
Sasa Kuna kitu kipo ndani ya CDM wanajua kabisa wao ni wapinzani na huyu lisu ukiangalia2 yeye hafati Sheria kabisa Yani yeye anaongea kibabe babe Sana Mara ntawaingiza wananchi barabarani
Watanzania siyo wajinga hivo uwaingize barabarani Wewe na wenzio mnakaa ghorofani😆😆😆
Lisu Sasa anataka niamini kuwa anatafuta kura ya huruma 2 Mara walinipiga risasi 16 nimepona narudi c aseme Nani kampiga risasi huyu jamaa anaonekana anapenda Sana machafuko huyu huyu huyu?
Msaliti wa pesa za viwanda kaenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na hakuna Ndege inatua hapo zaidi ya Ndege yake binafsiNi bora mara mia Membe ashinde uraisi kuliko Lissu.
Huyo ni msaliti mbaya sana.
Kama vipi mjomba wa chattle uige ya DRC kumpa mtu mwingine kiti kuliko kumpa msaliti Lissu.
Watanzania siyo wajinga hawaitaki CCM hata mtengeneze propaganda gani, acheni ushamba wenu vyote ulivyoandika hapa havina mashiko bakia navyo huko gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuzUnajua saa zingine unaweza sema kwanini hupati hela. Ukajua unalogwa basi utaenda kwa mganga naye atakwambia. Umelogwa😆😆😆
Sasa Kuna kitu kipo ndani ya CDM wanajua kabisa wao ni wapinzani na huyu lisu ukiangalia2 yeye hafati Sheria kabisa Yani yeye anaongea kibabe babe Sana Mara ntawaingiza wananchi barabarani
Watanzania siyo wajinga hivo uwaingize barabarani Wewe na wenzio mnakaa ghorofani😆😆😆
Lisu Sasa anataka niamini kuwa anatafuta kura ya huruma 2 Mara walinipiga risasi 16 nimepona narudi c aseme Nani kampiga risasi huyu jamaa anaonekana anapenda Sana machafuko huyu huyu huyu?
😆😆😆 mwenye akili na unayejua kuandika ni Wewe 😆😆😆 jiangalie kwanza wewwWatanzania siyo wajinga hawaitaki CCM hata mtengeneze propaganda gani, acheni ushamba wenu vyote ulivyoandika hapa havina mashiko bakia navyo huko gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz
.😜😜😜 Jichekeshe mwenyewe 2 😂😂😂 Sasa Kama kweli ni CCM inahusika kupigwa kwake risasi Sasa kwanini hajafungua kesi na Wewe kwanini usijitokeze Kama kweli unawajua acha kubwabwaja huko na Tanzania yako ambayo mnadhihakiwa na wenzenu ✌️✌️Kama kelele za kusema Lissu anapita kujinadi na kutangaza kuwa kapigwa risasi 16 nyie CCM ndo mmesababisha na nawaambia ukweli lazima aongee tu ukweli. Kwani mngemuacha kiumbe wa Mungu bila kumfanyie unyama ule angelisema Leo..?
Rejea chafu katika nini? Uchafu gani kafanya au hofu yako ya kukosa kuruhishiwa makombo?Hatuwexi kukubali tume yetu itengeneze rejea chafu kwa siku za usoni.Piga chini ni uxembe wake.Kuchamba kwingi. Amemdhulumu Nyarandu haki yake
Unajua nani hulalamika kwenye kesi kama hizo? CCM kweli imejaa wajinga?.😜😜😜 Jichekeshe mwenyewe 2 😂😂😂 Sasa Kama kweli ni CCM inahusika kupigwa kwake risasi Sasa kwanini hajafungua kesi na Wewe kwanini usijitokeze Kama kweli unawajua acha kubwabwaja huko na Tanzania yako ambayo mnadhihakiwa na wenzenu ✌✌