Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Shubuda keshachukua advance na Lipumba alitarajiwa kupewa leo kwa kazi ya kumvuruga Tundu lisu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi"Lissu anaweza kuenguliwa kwa makosa yake ya ujazaji fomu ila sio kwa kusingiziwa".
Kwa hoja kama hizi ndio maana anawaambia mkimkata hapatatosha.
Hivi hizo fomu ni mpaka uwe kada wa ccm ndio utajua kuzijaza kwa usahihi?
Jaji kaijage na IGP ni sehemu ya njama za kumkomoa Tundu lisuKata Lissu uchaguzi haupo!! Tusifikie huko watanzania.
Ni Aibu kubwa sana kwa chama kinachodai kumenunua Ndege kujenga SGR na kuleta maendeleo lakini cha ajabu wapo busy kumhujumu Tundu kwa kila mbinuKweli Lissu anawanyima usingizi
Kwani Membe yuko chama gani?Unaruka ndogo unakanyaga kubwa
Jr[emoji769]
Kumbe kupigwa risasi ukapona hiyo inakupa kiki ya kugombea uraisi na kuwasimulia watanzania iliwakuhurumiee??Membe amshinde nani dawa ya CCM ni Lissu tu na tunawanyoosha kikamilifu
Eti wanadai mpk uwe na kadi ya ccm ndiyo unaweza kujaza fomu kwa usahihi. CCM ni mdudu mbaya Sana.Hivi hizo fomu ni mpaka uwe kada wa ccm ndio utajua kuzijaza kwa usahihi?
Ili tujue watanzania ni wajinga au sio wajinga, Tundu Lissu asifanyiwe figisu wananchi waamue kwenye sanduku la kura!Kumbe kupigwa risasi ukapona hiyo inakupa kiki ya kugombea uraisi na kuwasimulia watanzania iliwakuhurumiee??
Watanzania sio wajinga.
Tunamwua labda ahame mtaa! Hizo hela zitaliwa na waombolezaji!Tokea juzi kuna vikao kati ya jaji kaijage, IGP, Shibuda na Lipumba wakipanga njama jinsi ya kumkomoa Tundu lisu, habari zilizovuja tokea kwa madalali wa CCM waliotengeneza mchongo zonasema Shibuda tayari kapewa Advance dola laki mbili na akifanikiwa kuvuruga uchaguzi atapewa dola laki tano
Wapi alipokosea kujaza fomu wewe umeshaziona ukajua amekosea kujaza fomu? Au ndio mnavyoweweseka Kama wehuLissu amemmaliza Membe! Membe angeungwa mkono na wana CCM ila wanaona alivyozidiwa na Lissu kwa hiyo wanajua hashindi wameachana nae...