Uchaguzi 2020 Kumuengua Tundu Lissu ni kumpa ushindi Bernard Membe

Lissu akienguliwa, jpm ataenda kulala, hakuna mgombea was kupambana na jpm nje ya lissu, hakuna
 
Unajua nani hulalamika kwenye kesi kama hizo? CCM kweli imejaa wajinga?
Mjinga ndo Wewe ambaye unaamini kweli flani anahusika afu Wewe CDM unajiona una akili sanaa? Sasa huo ndo Uphumbhafu. Shenshwahhit wewe
 
Ccm wajue mwisho wao upo tu na unakuja hakuna kitu kama nguvu ya umma
 
Mchawi anafahamika kwa maneno na matendo yake.

Moja ya nyuzi za kichawi tokea dongobeshi ni huu.
 
Mjinga ndo Wewe ambaye unaamini kweli flani anahusika afu Wewe CDM unajiona una akili sanaa? Sasa huo ndo Uphumbhafu. Shenshwahhit wewe
Hebu jitahidi ulijibu hilo swali we mbwiga! Nani hulalamika, au anayefungua mashtaka kama mlalamikaji kwenye makosa kama hilo? Kudai kuwa Lissu akawashtaki CCM kuwa ndio walimshambulia ni kukosa uelewa. Ni umbumbumbu! Mlalamikaji kwenye kesi ya Lissu ni jamhuri (serikali). Elewa hilo kuanzia Leo!
 
. Gudedhagiririk wewe afu Wewe hata hujielewi kweli Mara CCM ndo inahusika Mara jamhuri bc Kama vp nenda Wewe Mana unatetea utopolo 2 πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ kwagamawng'kilaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…