kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo.
Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na ACT kunapelekea wakiangalie CHADEMA kama chama kinachoweza kukidhi matakwa Yao.
Ni mtu mfupi tu waja Makamu wa Rais Zanzibar atashindwa kuyaishi maisha ya ACT ambayo yanategemea maono ya kiongozi mkuu. Tusipuuze nafsi zenye msimamo Kwa tamaa ya Mali, CHADEMA kuwekeza Zanzibar ni agenda, isimamieni